Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

maandamano

  • Walibya waandamana mjini Tripoli kuulaani utawala wa Saudi Arabia

    Walibya waandamana mjini Tripoli kuulaani utawala wa Saudi Arabia

    May 04, 2019 09:22

    Raia wa Libya wamefanya maandamano mbele ya ubalozi wa Saudi Arabia mjini Tripoli, wakilaani uingiliaji haribifu wa Riyadh katika masuala ya ndani ya nchi yao.

  • Maandamano ya wananchi yaendelea Algeria kupinga serikali ya mpito

    Maandamano ya wananchi yaendelea Algeria kupinga serikali ya mpito

    May 04, 2019 03:43

    Wananchi wa Algeria wameendelea na maandamano yao ya kupinga serikali ya mpito ya nchi hiyo na kuishutumu kuwa inapoteza muda.

  • Walibya waandamana mjini Tripoli kulaani hatua za Ufaransa dhidi ya nchi yao

    Walibya waandamana mjini Tripoli kulaani hatua za Ufaransa dhidi ya nchi yao

    Apr 27, 2019 08:28

    Raia wa Libya wamefanya maandamano katika medani kuu ya mji wa Tripoli wakiwa wamevalia vizibao vya njano kama wanavyofanya washiriki wa maandamano ya vizibao vya njazo kupinga siasa za kiuchumi za serikali ya Ufaransa, ambapo nao wamelaani mienendo hasi ya serikali ya Paris dhidi ya nchi yao.

  • Wanaharakati waandamana London, Uingereza kulaani ukatili wa Saudia

    Wanaharakati waandamana London, Uingereza kulaani ukatili wa Saudia

    Apr 27, 2019 03:18

    Kwa mara ya pili ndani ya wiki moja, wanaharakati na watetezi wa haki za binadamu wamefanya maandamano nje ya ubalozi wa Saudi Arabia katika mji mkuu wa Uingereza, London kulaani ukatili wa hivi karibuni wa watawala wa Aal-Saud dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia.

  • Waandamanaji Algeria wataka kupandishwa kizimbani ndugu ya Bouteflika

    Waandamanaji Algeria wataka kupandishwa kizimbani ndugu ya Bouteflika

    Apr 26, 2019 22:11

    Wananchi wa Algeria jana waliandamana tena ikiwa ni Ijumaa ya 10 mtawalia ya maandamano yao ambapo mbali na kusisitiza juu ya kuachia ngazi viongozi na maafisa wote wa serikali waliokuwa katika kipindi cha utawala wa Abdelaziz Bouteflika, Rais wa nchi hiyo aliyelazimika kujiuzulu, wametoa mwito wa kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria Said Bouteflika, ndugu ya rais huyo mkongwe aliyejiuzulu kufuatia maandamano ya wananchi.

  • Wasudan waendeleza maandamano ya kushinikiza utawala wa kiraia

    Wasudan waendeleza maandamano ya kushinikiza utawala wa kiraia

    Apr 26, 2019 09:52

    Maelfu ya wananchi wa Sudan wamesali Sala ya Ijumaa nje ya makao makuu ya jeshi la nchi hiyo mjini Khartoum, siku moja baada ya maandamano makubwa kushuhudiwa katika kona mbalimbali za mji mkuu huo, kulishinikiza jeshi likabidhi madaraka kwa raia.

  • Raia wa Italia waandamana kuupinga utawala wa Kizayuni Israel na kuiunga mkono Palestina

    Raia wa Italia waandamana kuupinga utawala wa Kizayuni Israel na kuiunga mkono Palestina

    Apr 26, 2019 03:31

    Sambamba na kusherehekea mwaka wa 74 wa kuwa huru nchi ya Italia na utawala wa Kifashisti, raia wa nchi hiyo mjini Roma, mji mkuu wa Italia wamefanya maandamano kuliunga mkono taifa madhlumu la Palestina.

  • Wakuu wa Baraza la Mpito la Kijeshi la Sudan wajiuzulu

    Wakuu wa Baraza la Mpito la Kijeshi la Sudan wajiuzulu

    Apr 25, 2019 03:17

    Viongozi watatu kati ya 10 wa Baraza la Mpito la Kijeshi la Sudan wametangaza kujiuzulu, huku wananchi wa nchi hiyo wakitazamiwa kuendelea na maandamano yao leo Alkhamisi, kulishinikiza jeshi likabidhi madaraka kwa raia.

  • Waandamanaji Sudan kutangaza Baraza la Mpito la Kiraia

    Waandamanaji Sudan kutangaza Baraza la Mpito la Kiraia

    Apr 21, 2019 09:45

    Chama cha Wanataaluma Sudan kimetangaza kuwa kinajiandaa kutangaza Baraza la Mpito la Kiraia, litakalochukua madaraka kutokana kwa Baraza la Mpito la Kijeshi la nchi hiyo.

  • Walibya waandamana kulaani hatua ya Trump kumpigia simu Jenerali Haftar

    Walibya waandamana kulaani hatua ya Trump kumpigia simu Jenerali Haftar

    Apr 20, 2019 08:37

    Wananchi wa Libya wamefanya maandamano mjini Tripoli kukosoa hatua ya Rais Donald Trump kumpigia simu jenerali muasi Khalifa Haftar mwenye makao yake katika mji wa Benghazi, magharibi mwa Libya, na ambaye amekuwa akiendesha kampeni ya kijeshi ya kutaka kuuteka mji mkuu Tripoli.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS