-
Balozi wa Palestina UN ataka kuchunguzwa jinai za Israel huko Gaza
Apr 20, 2018 23:40Balozi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa ametoa mwito kwa umoja huo kuunda kamisheni huru ya kuchunguza jinai za kutisha zinazofanywa na wanajeshi katili wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Maandamano yafanyika Marekani chini ya nara " Hatutaki vita Syria"
Apr 15, 2018 09:32Makumi ya wananchi wa Marekani wanaopinga vita wamefanya maandamano katika miji mbalimbli ya nchi hiyo kulalamikia kushambuliwa kijeshi Syria. Wanaharakati hao wanaopinga vita wameandamana baada ya kutekelezwa mashambulizi ya makombora dhidi ya Syria chini ya uongozi wa Marekani.
-
Hamas yajibu vitisho vya Israel, yasema maandamano yataendelea
Apr 10, 2018 03:00Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imesema maandamano makubwa ya amani yataendelea hadi pale mzingiro wa kibaguzi katika Ukanda wa Gaza utakapoondolewa.
-
Maandamano ya kutaka Sheikh Zakzaky aachiliwe huru Nigeria
Apr 08, 2018 09:19Watu wa Nigeria wameendeleza maandamano yao ya kulaani hatua ya serikali kuendelea kumshikilia kinyume cha sheria kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky huku wakitaka aachiliwe huru mara moja.
-
Vikosi vya usalama Bahrain vyawashambulia waandamanaji
Apr 07, 2018 03:24Maafisa usalama wa Bahrain wamewashambulia wananchi waliokuwa wamemininika mabarabarani kushiriki maandamano ya kupinga kufanyika nchini humo mashindano ya magari ya Langalanga maarufu kama Formula 1.
-
Wapalestina waandamana katika Ijumaa ya pili ya maandamano ya "Haki ya Kurejea"
Apr 06, 2018 09:34Maelfu ya Wapalestina wamejitokeza leo na kuandamana huko Gaza Palestina katika Ijumaa ya pili ya maandamano ya "Haki ya Kurejea".
-
Waingereza waandamana kuonyesha mshikamano wao na Wapalestina
Apr 01, 2018 12:51Wananchi na makundi ya kiraia katika mji wa London nchini Uingereza wamefanya maandamano wakitangaza uungaji mkono wao kwa wananchi wa Palestina na kulaani jinai wanazofanyiwa na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wapalestina 8 wauawa shahidi na jeshi la Israel katika maandamano ya Siku ya Ardhi
Mar 30, 2018 11:24Kwa akali Wapalestina wanane wameuawa shahidi na wanajeshi katili wa Israel katika maandamano ya Siku ya Ardhi, ya kulaani hatua ya utawala huo ghasibu ya kupora ardhi zao, yaliyofanyika leo karibu na uzio wa kibaguzi wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Waguinea waandamana kupinga ukatili wa polisi
Mar 30, 2018 03:22Wananchi wa Guinea wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo, Conakry wakipinga ukatili wa polisi dhidi ya wafuasi wa kambi ya upinzani na kutoa wito wa kuchukuliwa hatua dhidi ya polisi waliohusika na mauaji ya raia.
-
Wananchi Ghana wapinga mkataba wa kijeshi na Marekani
Mar 29, 2018 01:56Maelfu ya watu waliandamana katika mji mkuu wa Ghana, Accra siku ya Jumatano kupinga mkataba tata wa kijeshi baina ya nchi yao na Marekani.