-
Wahaiti waandamana kulaani kauli ya kebehi ya Trump dhidi ya nchi yao
Jan 22, 2018 23:56Wananchi wa Haiti wamefanya maandamano nje ya ubalozi wa Marekani katika mji mkuu wa nchi hiyo, Port-au-Prince, kulaani matamshi ya kudhalilisha na ya kibaguzi yaliyotolewa na Donald Trump hivi karibuni.
-
Polisi Kongo DR yajiweka tayari kuzima maandamano dhidi ya Kabila
Jan 21, 2018 04:05Maafisa wa polisi wameonekana wakilinda doria katika kila kona ya mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kinshasa, masaa machache kabla ya kuanza maandamano ya kumshinikizi Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo aachie ngazi.
-
Wanigeria waendeleza maandamano ya kutaka Sheikh Ibrahim Zakzaky aachiliwe huru
Jan 20, 2018 03:37Wananchi wa Nigeria Ijumaa waliendeleza maandamano ya kutaka serikali ya nchi hiyo imuachilie Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
Warohingya walioko Bangladesh wakataa kurejeshwa nchini Myanmar
Jan 19, 2018 10:23Mamia ya wakimbizi wa Kirohingya walioko nchini Bangladesh leo Ijumaa wamefanya maandamano wakipinga mpango wa kuwarejesha nchini Myanmar, ambako walikimbia mauaji na mashambulizi kutoka kwa jeshi la nchi hiyo likishirikiana na Mabudha wenye misimamo mikali.
-
Ijumaa tarehe 19 Januari, 2018
Jan 18, 2018 22:55Leo ni Ijumaa tarehe Mosi Jamadil Awwal 1439 Hijria sawa na 19 Januari 2018.
-
Polisi Sudan watumia mabomu na bakora kuzima maandamano
Jan 16, 2018 11:08Maafisa usalama nchini Sudan wametumia mabomu ya kutoa machozi kuwatawanya waandamanaji, wanaolalamikia ughali wa maisha na hali ngumu ya kiuchumi.
-
Bandera za Israel zachomwa moto kumkaribisha Netanyahu India
Jan 14, 2018 04:32Maandamano makubwa yameshuhudiwa katika mji mkuu wa India, New Delhi, kabla ya kuanza safari ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu katika nchi hiyo.
-
Rais wa Tunisia afanya mkutano wa kusitisha maandamano
Jan 14, 2018 04:23Rais wa Tunisia amevunja kimya chake na kufanya mkutano na vyama vya siasa, miungano ya wafanyakazi na shirikisho la waajiri kwa shabaha yan kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa kiuchumi na maandamano yanayoshuhudiwa nchini humo kwa siku kadhaa sasa.
-
Maandamano ya kulalamikia mfumko wa bei yashtadi Tunisia
Jan 09, 2018 12:21Mtu mmoja ameuawa, huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika maandamano ya wananchi wa Tunisia wanaolalamikia mfumko wa bei za bidhaa na kile wanachokitaja kama 'bajeti isiyo ya uadilifu'.
-
Wairani waandamana kupinga fujo na machafuko na kuunga mkono Mfumo wa Kiislamu
Jan 03, 2018 12:08Wananchi wa Iran kutoka pembe mbalimbali za nchi wamefanya maandamano hii leo kuuunga mkono Mfumo wa Kiislamu unaotawala sambamba na kulaani ghasia zinazoshuhudiwa katika baadhi ya maeneo.