-
Tehran: Israel, US hazina ufahamu juu ya taifa la Iran
Dec 31, 2017 11:23Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema utawala wa Kizayuni wa Israel, Marekani na nchi nyingine zinazojifanya kutetea haki za Wairani hazina ufahamu wowote kuhusu taifa la Iran.
-
Waisraeli waandamana dhidi ya Netanyahu kwa wiki ya tano
Dec 31, 2017 11:17Maelfu ya Waisraeli wamemiminika mabarabarani kwa wiki ya tano mfululizo kushiriki maandamano ya kushinikiza kufungwa jela Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu kutokana na kashfa za ufisadi wa kifedha zinazomuandama.
-
Kadhaa wauawa katika maandamano dhidi ya serikali Kongo DR
Dec 31, 2017 11:09Kwa akali watu wawili wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika ghasia za maandamano dhidi ya serikali katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Wapalestina wawili wauawa shahidi katika maandamano ya tatu ya "Ijumaa ya Ghadhabu" ya kupinga uamuzi wa Trump
Dec 22, 2017 23:13Wapalestina wawili wameuliwa shahidi na makumi ya wengine wamejeruhiwa huko Ukanda wa Gaza katika maandamano ya tatu ya "Ijumaa ya Ghadhabu" ya kupinga na kulaani uamuzi wa rais wa Marekani wa kuitangaza Quds kuwa mji mkuu wa Israel.
-
Wananchi wa Indonesia waandamana kuwaunga mkono Wapalestina
Dec 17, 2017 04:39Makumi ya maelfu ya wananchi wa Indonesia wamefanya maandamano Jumapili ya leo kulaani uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuitangaza Quds kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel sambamba na kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Wapalestina waandamana katika "Ijumaa ya Ghadhabu" dhidi ya Trump
Dec 15, 2017 13:32Raia wa Palestina leo Ijumaa wamefanya maandamano katika ardhi zote zinazokaliwa kwa mabavu chini ya anwani "Ijumaa ya Hasira" ili kulalamikia na kupinga hatua ya hivi karibuni ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuutangaza mji mtakatifu wa Quds kuwa mji mkuu wa Israel.
-
Mji wa London washuhudia maandamano ya kutaka kuachiliwa huru Sheikh Zakzaky
Dec 14, 2017 03:22Maelfu ya wakazi wa mji mkuu wa Uingereza London, wameandamana wakitaka kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.
-
Wananchi wa Mauritania waandamana kumlaani Donald Trump
Dec 11, 2017 11:02Wananchi wa Mauritania wameungana na Waislamu na wapenda haki katika kona zote za dunia kuendeleza maandamano ya kumlaani rais wa Marekani, Donald Trump kwa hatua yake ya kuitambua Quds kuwa mji mkuu wa utawala pandikizi wa Israel.
-
Wajordan waandamana kumlaani Rais wa Marekani
Dec 09, 2017 11:51Wananchi wa Jordan pamoja na viongozi wa sekta mbalimbali akiwemo spika wa bunge la nchi hiyo wamefanya maandamano karibu na ubalozi wa Marekani mjini Amman kulaani hatua ya rais wa Marekani, Donald Trump, ya kuitambua Baytul Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala ghasibu wa Kizayuni.
-
Trump alaaniwa katika kila kona ya dunia
Dec 07, 2017 04:07Uamuzi wa rais wa Marekani wa kuutangaza mji mtakatifu wa Quds wenye Kibla cha Kwanza cha Waislamu kuwa eti ni mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel umeendelea kulaaniwa na hata waitifaki wa karibu wa Marekani katika kila kona ya dunia.