-
Serikali ya Congo DR yapiga marufuku maandamano ya wapinzani
Nov 27, 2017 04:40Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imepiga marufuku maandamano ya kambi ya upinzani yaliyopangwa kufanyika tarehe 30 mwezi huu wa Novemba kumshinikiz Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo aondoke madarakani.
-
Wanigeria waandamana kutaka Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu aachiliwe huru
Nov 26, 2017 00:15Wanawake wameandamana katika mji mkuu wa Nigeria, Abuja wakitaka serikali imuachilie huru kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini humo Sheikh Ibrahim Zakzaky na mke wake.
-
Wanachuo Zimbabwe waandamana dhidi ya Mugabe
Nov 20, 2017 11:06Wanachuo nchini Zimbabwe wamefanya maandamano katika kuonyesha upinzani wao kwa rais wa nchi hiyo.
-
Wajerumani waandamana kupinga chokochoko za Marekani dhidi ya Korea Kaskazini
Nov 19, 2017 04:05Raia wa Ujerumani wameandamana katika mji mkuu wa nchi Berlin hiyo kulalamikia kuongezeka mivutano kati ya Marekani na Korea Kaskazini.
-
Maelfu waandamana Zimbabwe wakishinikiza Mugabe ajiuzulu
Nov 18, 2017 11:27Maelfu ya raia wameandamana leo nchini Zimbabwe hasa katika mji mkuu Harare wakiunga mkono hatua ya jeshi ya kumuondoa madarakani Rais Robert Mugabe wa nchi hiyo na kupiga nara wakishinikiza kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 93 ajiuzulu na kuachia madaraka ya nchi.
-
Chama tawala nchini Zimbabwe kuongoza maandamano dhidi ya Mugabe
Nov 17, 2017 23:50Chama tawala nchini Zimbabwe Zanu-PF hii leo klnatazamiwa kuongoza maandamano katika mji mkuu Harare, kumshinikiza Rais Robert Mugabe wa nchi hiyo ajiuzulu.
-
Kuendelea kusimama imara dhidi ya Saudia, ujumbe wa maandamano makubwa ya Wayemen
Nov 15, 2017 03:38Mwishoni mwa maandamano makubwa yaliyofanyika mjini Sana'a, mji mkuu wa Yemen siku ya Jumatatu, katika kulalamikia mzingiro wa kidhalimu wa nchi vamizi zikiongozwa na Saudia, Wayemen walitoa taarifa ikiwa ni mwaka wa tatu wa mashambulizi ya Saudia na washirika wake dhidi ya taifa lao.
-
Wamarekani waandamana wakitaka kubanwa umiliki wa silaha baada ya mauaji ya Texas
Nov 07, 2017 04:48Wananchi wa Marekani wamefanya maandamano katika mji wa Washington kushinikiza kuangaliwa upya suala la umiliki na ruhusa ya kubeba silaha nchini humo, kufuatia mauaji ya makumi ya watu katika shambulizi la ufyatuaji risasi katika jimbo la Texas.
-
Polisi nchini Tunisia waandamana, wataka kulindwa
Nov 04, 2017 04:23Maafisa wa polisi nchini Tunisia wamefanya maandamano wakitaka kupitishwe rasimu ya muswada wa kuwalinda.
-
Mayahudi waandamana London kupinga safari ya Netanyahu
Nov 02, 2017 13:51Mayahudi wanaopinga utawala wa Kizayuni wa Israel wamefanya maandamano mjini Landon wakipinga safari ya Waziri Mkuu wa utawala huo nchini Uingereza.