-
Wairani kufanya maandamano kulaani jinai dhidi ya Wapalestina, Warohingya
Jul 26, 2017 03:34Wairani wa matabaka yote Ijumaa ijayo wanatazamiwa kufanya maandamano ya nchi nzima kulaani ukatili unaoendelea kufanywa na utawala ghasibu wa Israel dhidi ya raia wa Palestina katika mji mtakatifu wa Quds na Msikiti wa al Aqsa sambamba na jinai za kutisha dhidi ya Waislamu wa Rohingya.
-
Kuendelea mgogoro na maandamano ya wananchi nchini Morocco
Jul 23, 2017 22:04Katika muendelezo wa machafuko na malalamiko ya wananchi nchini Morocco, askari usalama wa nchi hiyo wamewatia nguvuni makumi ya raia wa nchi hiyo katika mji wa Al Hoceima.
-
Wamorocco waendeleza maandamano Al Hoceima, polisi 72 wajeruhiwa
Jul 22, 2017 11:59Maandamano ya wakazi wa mji wa Al Hoceima, kaskazini mwa Morocco yameendelea huku askari 72 wakijeruhiwa.
-
Wapinzani Madagascar wafanya maandamano licha ya marufuku ya polisi
Jul 08, 2017 12:13Wafuasi wa kambi ya upinzani nchini Madagascar wamefanya maandamano leo katika mji mkuu wa nchi hiyo, Antananarivo licha ya maandamano hayo kupigwa marufuku na vyombo vya usalama.
-
Maandamano ya kuunga mkono marekebisho ya katiba ya Mali
Jun 29, 2017 03:04Makumi ya maelfu ya wananchi wa Mali jana waliandamana huko Bamako mji mkuu wa nchi hiyo wakiunga mkono mpango wa kuifanyia marekebisho katiba ya nchi hiyo.
-
Wamisri wafanya maandamano makubwa kupinga kuipa Saudia visiwa vya nchi yao
Jun 25, 2017 23:42Hatua ya Rais Abdel Fattah el-Sisi wa Misri ya kutia saini makubaliano ya kuikabidhi Saudi Arabia visiwa viwili vya nchi hiyo vya Tiran na Sanafir, imeibua hasira kubwa baina ya raia wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Mapigano yazuka baina ya waandamani na polisi nchini Morocco
Jun 17, 2017 09:55Maandamano makubwa ya wananchi wa Morocco huko kaskazini mwa nchi hiyo, leo yamegeuka kuwa uwanja wa mapigano kati yao na vikosi vya usalama vya nchi hiyo ya kaskazini magharibi mwa Afrika.
-
Wamisri waandamana kupinga kupewa Saudia visiwa viwili vya nchi yao
Jun 14, 2017 03:45Wananchi wa Misri wamefanya maandamano katika mji mkuu Cairo, kulalamikia uamuzi wa Bunge la hiyo nchi hiyo wa kuidhinisha kupewa Saudi Arabia visiwa viwili vya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika vya Tiran na Sanafir.
-
Askari 30 watiwa nguvuni nchini Cameroon kwa kukiuka kanuni za jeshi
Jun 07, 2017 11:06Waziri wa Uinzi wa Cameroon ametangaza kuwa askari 30 wa jeshi la nchi hiyo wametiwa nguvuni kwa tuhuma za kufanya maandamano ya kupinga serikali.
-
Mayahudi waandamana kuunga mkono taifa la Palestina
May 28, 2017 09:09Maelfu ya Mayahudi wamefanya maandamano mjini Tel Aviv kuunga mkono kuundwa taifa huru la Palestina sambamba na kulaani miaka 50 ya utawala haramu wa Israel kukalia kwa mabavu ardhi za Wapalestina.