-
Jumatano, tarehe 26 Juni, 2024
Jun 26, 2024 02:14Leo ni Jumatano tarehe 19 Dhulhija 1445 Hijria sawa na Juni 26, 2024.
-
Kimbunga cha Gamane chaipiga Madagascar, 11 waaga dunia
Mar 29, 2024 02:38Watu wasiopungua 11 wameaga dunia baada ya kimbunga kikali cha tropiki cha Gamane kuipiga Madagascar.
-
Sheria inayoruhusu kuwahasi wabakaji Madagascar yalalamikiwa na makundi ya kutetea haki
Feb 13, 2024 07:32Bunge la Madagascar limepitisha sheria inayoruhusu kuwahasi kwa kemikali na katika baadhi ya kesi kwa njia ya upasuaji watu wanaopatikana na hatia ya kubaka watoto wadogo.
-
Rajoelina ashinda kiti cha urais Madagascar kwa muhula wa tatu
Nov 26, 2023 06:29Tume ya Uchaguzi ya Madagascar jana Jumamosi ilitangaza kuwa Andry Rajoelina ameshinda tena kuiongoza nchi hiyo kwa muhula wa tatu katika duru ya kwanza ya uchaguzi wa Rais uliosusiwa na karibu wagombea wote wa upinzani.
-
Wamadagascar washiriki uchaguzi wa rais uliosusiwa na upinzani
Nov 16, 2023 04:12Wananchi wa Madagascar hii leo wameelekea kwenye masanduku ya kupigia kura kushiriki uchagujzi wa rais ambao umesusiwa na upinzani.
-
Rajoelina azindua kampeni kuelekea uchaguzi wa Rais Madagascar
Oct 11, 2023 07:52Andre Rajoelina Rais wa Madagascar aliyemaliza muhula wake wa uongozi amezindua kampeni zake kuelekea uchaguzi wa Rais uliopangwa kufanyika mwezi ujao nchini humo.
-
Watu 30 wapoteza maisha kutokana na kimbunga cha tropiki Madagascar
Jan 31, 2023 06:53Idadi ya watu walioaga dunia kutokana na kimbunga kikali cha tropiki cha Cheneso kilichoipiga Madagascar imeongezeka na kufikia 30.
-
Madagascar yakumbwa na tufani ya Cheneso; barabara kuelekea mji mkuu zimebomoka
Jan 25, 2023 03:03Wilaya kadhaa katika mkoa wa Mahajanga kaskazini magharibi mwa Madagascar zimekumbwa na mafuriko pamoja na barabara zinazoziunganisha wilaya hizo kueleke amji mkuu, Antananarivo. Kimbunga kwa jina la "Cheneso" kinaendelea kukiathiri kisiwa hicho kinachopatikana katika bahari ya Hindi huku watu zaidi ya 15,000 pia wakiathirika.
-
Jumapili tarehe 26 Juni 2022
Jun 26, 2022 02:30Leo ni Jumapili tarehe 26 Dhulqaada 1443 Hijria sawa na tarehe 26 Juni mwaka 2022.
-
Kimbunga Batsirai chaikumba Madagascar, 10 wauawa na 48,000 wameyahama makazi yao
Feb 07, 2022 12:40Watu wasiopungua 10 wameaga dunia na karibu 48,000 wamekimbia makazi yao kutoka na kimbunga Batsirai, ambacho kimekikumba kisiwa hicho kilichoko kilomita 400 kutoka pwani ya Mashariki ya Afrika.