-
Kimbunga Batsirai kusababisha watu 150,000 kupoteza makazi Madagascar
Feb 05, 2022 04:42Huenda watu 150,000 wakakosa pahala pa kuishi kutokana athari za Kimbunga cha Batsirai kinachotazamiwa kukipiga kisiwa cha Madagascar leo Jumamosi.
-
Watu 19 waaga dunia kutokana na athari za kimbunga 'Ana' Malawi
Jan 27, 2022 07:49Idara ya Kitaifa ya Kupambana na Majanga ya Malawi imesema watu 19 wamefariki dunia kutokana na kimbunga kikali cha kitropiki kilichopewa jina la Ana katika maeneo ya kusini mwa nchi hiyo.
-
Kimbunga 'Ana' chaua watu 34 Madagascar, 2 Msumbiji
Jan 26, 2022 12:13Makumi ya watu wameaga dunia kutokana na kimbunga kikali kilichoipiga Madagascar kwa siku kadhaa sasa.
-
UN yatahadharisha: Madagascar inakaribia kukumbwa na njaa kutokana na ukame mkubwa
Sep 03, 2021 11:43Kisiwa cha Madagascar kinachopatikana katika Bahari ya Hindi barani Afrika kwa miaka minne sasa kimeathiriwa na ukame uliosabbaishwa na mabadiliko ya tabianchi. Watu nchini humo wanalazimika kula nzige na majani ya mwituni ili kubakia hai.
-
Majenerali wa kijeshi Madagascar waswekwa ndani kwa 'kutaka kumuua Rais'
Aug 02, 2021 11:04Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Madagascar ametangaza habari ya kutiwa mbaroni majenerali watano wa jeshi na maafisa kadhaa wa ngazi za juu wa polisi ya nchi hiyo wakituhumiwa kuhusika na njama iliyofeli ya kutaka kumuua Rais wa nchi hiyo, Andry Rajoelina.
-
Wafaransa wawili watiwa mbaroni kwa kufanya njama za kumuua rais wa Madagascar
Jul 22, 2021 11:17Duru za habari zimeripoti kutiwa mbaroni raia wawili wa Ufaransa kwa tuhuma za kufanya njama za kutaka kumuua Rais wa Madagascar.
-
Jumamosi, Juni 26, 2021
Jun 26, 2021 02:28Leo ni Jumamosi tarehe 15 Mfunguo Pili Dhulqaada 1442 Hijria sawa 5 Tir mwaka 1400 Hijria Shamsiya inayosadifiana na Juni 26 mwaka 2021 Milaadia.
-
Wafungwa 20 wauawa katika jaribio la kutoroka gerezani Madagascar
Aug 24, 2020 11:54Wafungwa 20 wameuawa katika makabiliano ya risasi baina yao na askari gereza katika jaribo la kukimbia jela nchini Madagascar.
-
Wabunge wawili na maseneta wawili wafariki dunia Madagascar kutokana na corona
Jul 13, 2020 13:02Wabunge wawili, seneta mmoja na naibu seneta wa Madagascar wameaga dunia kutokana na maambukizi ya virusi vya corona.
-
Madagascar yaendelea kugawa dawa ya Corona licha ya kuwepo shaka na upinzani juu yake
May 10, 2020 04:11Licha ya kuwepo shaka na upinzani dhidi ya dawa inayodaiwa kutibu ugonjwa wa Covid-19, serikali ya Madagascar inaendelea kugawa dawa hiyo.