-
Maseneta wa Marekani watishia 'kuichukulia hatua' Saudia
Apr 11, 2020 09:19Maseneta wa Marekani wametishia kuangalia upya uhusiano wao na Saudi Arabia kutokana na hatua ya Riyadh ya kuendelea kuvutana na Russia juu ya bei ya mafuta ghafi ambayo imeiathiri pia Marekani.
-
Seneta wa Marekani aionya Saudia kwa kushusha bei ya mafuta
Apr 03, 2020 23:42Seneta wa chama cha Republican nchini Marekani ameitahadharisha Saudia kuhusu kushuka kwa bei ya mafuta kwenye soko la dunia kutokana na tofauti zake na Russia na kuitaka ibadili mienendo yake.
-
Trump azikosoa Saudi Arabia na Russia kwa kuvuruga soko la mafuta
Mar 31, 2020 02:29Rais Donald Trump wa Marekani sambamba na kuzikosoa Saudi Arabia na Russia kutokana na kuvuruga soko la mafuta, amesema kuwa Riyadh na Moscow zimepatwa na wendawazimu katika suala hilo.
-
Jitihada za Imarati za kudhibiti maliasili za mafuta ya Yemen
Mar 14, 2020 08:37Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) unafanya kila uwezalo kudhibiti utajiri wa Yemen vikiwemo visima vya mafuta vya nchi hiyo.
-
Lebanon yachukua uamuzi wa kuanza kuchimba mafuta eneo inalozozania na Israel
Feb 27, 2020 21:47Rais Michel Aoun wa Lebanon ametangaza kuwa nchi yake itaanzisha operesheni ya kuchimba mafuta katika eneo inalozozania na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Uamuzi wa Marekani wa kushadidisha vikwazo vya mafuta dhidi ya Venezuela
Feb 26, 2020 09:36Serikali ya Marekani ikiwa na lengo la kuendeleza mashinikizo dhidi ya Venezuela imeazimia kushadidisha vikwazo vya mafuta dhidi ya nchi hiyo ya Amerika ya Latini.
-
Bei za mafuta na dhahabu zapanda duniani kufuatia mauaji ya Jenerali Soleimani
Jan 03, 2020 08:45Bei za mafuta na dhahabu katika soko la kimataifa kote duniani zimepanda kufuatia kuuliwa shahidi Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran, Meja Jenerali Qassem Soleimani.
-
Sera za undumilakuwili za Marekani nchini Syria
Dec 06, 2019 04:34Tangu mwaka 2014, Marekani imejiingiza kijeshi kinyume cha sheria nchini Syria kwa kisingizio cha kupambana na kundi la kigaidi la Daesh; na hivi sasa pia, licha ya madai ya rais wa nchi hiyo Donald Trump kwamba imejiondoa kijeshi katika ardhi ya Syria, imeshatafuta kisingizio kingine kipya ili kurefusha muda wa kuweko askari wake nchini humo.
-
Bloomberg: Vikwazo vya Marekani vimefali, uchumi wa Iran unaimarika
Oct 26, 2019 23:09Jarida la kimataifa la biashara la Bloomberg limethibitisha kuwa vikwazo vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vimefeli na kwamba uchumi wa nchi hii karibuni utaanza kuimarika.
-
Zanganeh: Juhudi za kusitisha ustawi wa sekta ya mafuta ya Iran zimefeli
Oct 20, 2019 08:10Waziri wa Mafuta wa Iran amesema kuwa ustawi wa sekta ya mafuta ya Iran si tu kuwa haujasitishwa bali kusainiwa makubaliano na kutekelezwa miradii mingi katika sekta ya mafuta na gesi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kumeongezeka.