-
IRGC: Tumewavurumishia maadui makombora 700, droni 3,600 mpaka sasa
Mar 17, 2026 03:38Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limesema limepiga shabaha za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa makombora zaidi ya 700 na ndege zisizo na rubani 3,600 tangu Jamhuri ya Kiislamu ianzishe operesheni za kulipiza kisasi cha mashambulizi ya kichokozi ya maadui hao mwishoni mwa Februari mwaka huu.
-
Jen. Mousavi: Iran imeivurumishia Israel makombora 30 ya balestiki
Mar 14, 2026 03:48Kamanda wa Kikosi cha Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran IRGC amesema asilimia kubwa ya makombora 30 ya balestiki yaliyovumishwa na Jamhuri ya Kiislamu usiku wa Lailatul Qadr yalipiga shabaha zilizokusudiwa kwa usahihi mkubwa.
-
Nini maana ya Marekani kushindwa kistratejia?
Mar 09, 2026 09:02Kwa nini Marekani inakaribia kushindwa kistratejia? Jibu la swali hili linapatika katika utambulisho wa vita vya sasa vilivyoanzishwa na Marekani na Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Meja Jenerali Mousavi: Tumeimarisha uwezo wa makombora yetu
Feb 05, 2026 23:26Afisa mwandamizi wa Jeshi wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu imeimarisha mifumo yake ya kujilinda kwa kuboresha makombora ya balestiki yaliyotengenezwa ndani ya nchi.
-
"Uwezo wa makombora ya Iran umeimarika, tayari kukabili adui"
Dec 23, 2025 23:10Msemaji wa Jeshi la Iran amesema kwamba, uwezo wa vikosi vya majini, ardhini, na makombora vya Jamhuri ya Kiislamu viko tayari kikamilifu kukabiliana na senario yoyote tarajiwa ya adui, akisisitiza kwamba Tehran bado haijatumia nguvu yake halisi ya makombora.
-
Iran yazindua makombora ya Emad, Ghadr yaliyoboreshwa
Oct 19, 2025 03:06Kikosi cha Wanaanga cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kimezindua makombora yaliyoboreshwa ya Emad na Ghadr katika miji ya makombora ya chini ya ardhi.
-
Mji wa Bat Yam umekuwa kama Gaza baada ya mashambulizi ya makombora ya Iran dhidi ya Israel
Jun 30, 2025 07:57Gazeti la Israel la lugha ya Kiibrania limeripoti kuwa mji wa Bat Yam katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) sasa unafanana na maeneo yaliyoathiriwa na vita ya Ukanda wa Gaza baada ya mashambulizi ya kulipiza kisasi ya Iran dhidi ya utawala wa Israel.
-
IRGC: Tutazindua karibuni kombora la 'supersonic cruise'
Feb 10, 2025 23:16Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu karibuni hivi itazindua kombora la kisasa la cruise lenye uwezo wa kusafiri kwa mwendo kasi wa supersonic, lililotengenezwa na wataalamu wa humu nchini.
-
Ujue Mfumo wa Kisasa wa Iran wa Bavar 373 uliotumika kuzima hujuma ya Israel
Nov 03, 2024 06:11Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika Makala hii ambayo huangazia baadhi ya matukio muhimu ya sayansi nchini Iran na maeneo mengine duniani. Leo Makala yetu maalumu itaangazia mfumo wa kujihami angani wa Iran ujulikanao kama Bavar 373 ambao uwezo wake mkubwa umewashangaza wengi duniani.
-
Kamanda: Iran inaona fakhari kumiliki makombora yanayopiga kilomita 2000
Sep 26, 2024 00:28Kamanda wa Jeshi la Anga la Iran alisema amesema jeshi la Jamhuri ya Kiislamu linajivunia makombora yenye uwezo wa kupiga shabaha kwa usahihi mkubwa, umbali wa zaidi ya kilomita 2000.