-
Malawi yawataka wakulima kustafidi na soko la China ili kukuza uchumi
Apr 21, 2024 07:48Mamlaka husika nchini Malawi zinawataka wakulima wa ndani kuingia katika soko la tumbaku na soya nchini China ili kukuza akiba ya fedha za kigeni nchini humo na kuimarisha uchumi.
-
Alkhamisi, tarehe 6 Julai, 2022
Jul 06, 2023 02:17Leo ni Alkhamisi tarehe 17 Dhulhija 1444 Hijria sawa na Julai 6 mwaka 2023.
-
Waliofariki dunia kwa Kimbunga Freddy Malawi wakaribia 700
Mar 30, 2023 02:29Idadi ya watu walioaga dunia kutokana na Kimbunga Freddy nchini Malawi, ambacho kinatajwa kuwa kimbunga kilichodumu kwa muda mrefu zaidi, imeonezeka na kufikia watu 676.
-
UNICEF: Mlipuko wa kipindupindu unatishia maisha ya watoto nchini Malawi
Mar 08, 2023 03:01Ripoti iliyotolewa na Shirika la Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) imesema kufikia tarehe 26 Februari mwaka huu, kesi 48,815 za kipindupindu na vifo 1,5471 vimesajiliwa nchini Malawi. Ripoti hiyo imesema kesi 12,293 na vifo 203 kati ya watoto ziliripotiwa kwa jumla nchini Malawi kufikia Februari 19, 2023.
-
Mahakama Kuu ya Malawi yamrejesha kazini mkuu wa kupambana na rushwa
Feb 07, 2023 11:48Mahakama Kuu ya Malawi imeondoa zuio la serikali alilokuwa amewekewa Bi Martha Chizuma, Mkuu wa Taasisi ya Kupambana na Rushwa ya nchi hiyo na hivyo kutoa mwanya wa kurejea kazini.
-
Mripuko wa kipindupindu waua mamia ya watu nchini Malawi
Nov 10, 2022 10:59Wizara ya Afya ya Malawi imetangaza habari ya kuaga dunia mamia ya watu kutokana na mripuko wa ugonjwa wa kipindupindu nchini humo.
-
Malawi yaripoti mripuko wa polio, kesi ya kwanza Afrika baada ya miaka 5
Feb 19, 2022 02:55Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza habari ya kuibuka mripuko wa ugonjwa wa kupooza (polio) nchini Malawi, hii ikiwa ni kesi ya kwanza ya virusi vya polio ya msitu kuripotiwa barani Afrika baada ya kupita zaidi ya miaka mitano.
-
Malawi kutokuwa na umeme kwa muda wa miezi sita kufuatia kimbunga kikali
Feb 08, 2022 12:03Kituo kikuu cha kusambaza nishati ya umeme nchini Malawi hakifanyi kazi baada ya bwawa la Chikwawa kuathiriwa pakubwa na mvua nkali zilizosababishwa na kimbunga kikubwa cha kitropiki cha Ana tarehe 24 mwezi Januari mwaka huu.
-
Watu 19 waaga dunia kutokana na athari za kimbunga 'Ana' Malawi
Jan 27, 2022 07:49Idara ya Kitaifa ya Kupambana na Majanga ya Malawi imesema watu 19 wamefariki dunia kutokana na kimbunga kikali cha kitropiki kilichopewa jina la Ana katika maeneo ya kusini mwa nchi hiyo.
-
Marais wa Malawi na Mauritania wamtumia Raeisi salamu za pongezi
Jul 01, 2021 03:26Marais wa nchi za Afrika za Malawi na Mauritania wamemtumia ujumbe Rais mteule wa Iran, Hujjatul Islam Walmuslimin Ebrahim Raeisi wakimpongeza kwa kuchaguliwa kuwa Rais mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.