• Marekani yaingiwa na wahaka kufuatia maridhiano ya Syria na HAMAS

    Marekani yaingiwa na wahaka kufuatia maridhiano ya Syria na HAMAS

    Oct 21, 2022 07:54

    Marekani imeonya kuwa itachukua hatua zaidi za 'kumtenga' Rais Bashari al-Assad wa Syria, jambo linaloashiria kuwa Washington imeingiwa na kiwewe kufuatia hatua ya hivi karibuni ya Damascus kufikia maridhiano na Harakati ya Mapmbano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS).

  • Nchi 8 zatahadharisha kuhusu shughuli za kibaolojia za Marekani huko Ukraine

    Nchi 8 zatahadharisha kuhusu shughuli za kibaolojia za Marekani huko Ukraine

    Oct 19, 2022 04:30

    Nchi 8 zimetaka katika kikao cha Umoja wa Mataifa kutumiwa njia zote zilizopo ili kuweka wazi taarifa zinazohusiana na shughuli za kibaolojia zinazofanywa na jeshi la Marekani huko Ukraine.

  • Kwa nini Marekani imejikita sana katika kuunga mkono ghasia nchini Iran

    Kwa nini Marekani imejikita sana katika kuunga mkono ghasia nchini Iran

    Oct 17, 2022 07:45

    Karine Jean-Pierre Msemaji wa White House ameashiria namna Marekani ilivyojikika pakubwa katika machafuko na ghasia hapa nchini na kueleza kuwa: hata kama serikali ya Biden inaamini kuwa diplomasia ni njia bora zaidi ya kuizuia Iran kumiliki silaha za nyuklia lakini sasa Washington imejikita katika kuunga mkono ghasia na fujo nchini Iran.

  • Iran yamkosoa Biden kwa kuunga mkono, kushajiisha ghasia hapa nchini

    Iran yamkosoa Biden kwa kuunga mkono, kushajiisha ghasia hapa nchini

    Oct 16, 2022 07:54

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani vikali hatua ya Marekani ya kuingilia masuala ya ndani ya Jamhuri ya Kiislamu, baada ya Rais Joe Biden wa nchi hiyo kutangaza kuwa anaunga mkono ghasia na fujo zinazoshuhudia hapa nchini.

  • Aina mpya ya Omicron yaenea nchini Marekani

    Aina mpya ya Omicron yaenea nchini Marekani

    Oct 16, 2022 04:44

    Utafiti mpya wa Kituo cha Kuzuia na Kudhibiti Magojwa cha Marekani (CDC) umebaini kuwa, aina mpya ya kirusi cha corona cha Omicron, imesambaa mno nchini Marekani.

  • Kukiri Marekani kuwa inahusika katika kuchochea ghasia na machafuko nchini Iran

    Kukiri Marekani kuwa inahusika katika kuchochea ghasia na machafuko nchini Iran

    Oct 15, 2022 00:10

    Ned Price, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, amekiri kwamba utawala wa Joe Biden sasa umejikita kwenye machafuko na ghasia nchini Iran huku akiiishutumu Tehran kuwa haiko tayari kufikia muafaka kuhusu kuhuisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA. Mbali na kukiri huko, imekuwa ikifahamika wazi kimataifa kuwa Marekani inaingilia masuala ya ndani ya Iran.

  • Iran: Kama US inapigania kweli haki za binadamu, iache kuwasaidia magaidi

    Iran: Kama US inapigania kweli haki za binadamu, iache kuwasaidia magaidi

    Oct 14, 2022 04:20

    Ofisi ya Uwakilishi wa Kudumu ya Iran katika Umoja wa Mataifa imesema iwapo Marekani inataka kupambana kwa dhati na ugaidi, sharti iachane na tabia yake ya kuunga mkono makundi ya kigaidi kama lile la Kumalah.

  • Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Kusimama imara; njia ya kukabiliana na maadui

    Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Kusimama imara; njia ya kukabiliana na maadui

    Oct 13, 2022 08:14

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametaja ghasia na machafuko yaliyoenea katika maeneo mbalimbali hapa nchini kuwa ni mpango usio wa kawaida na wa fedheha wa adui mkabala wa maendeleo na harakati za ubunifu na kubwa za taifa la Iran na kwamba, njia ya kukabiliana na maadui ni kusimama imara.

  • Kiongozi wa Korea Kaskazini: Hakuna faida ya kufanya mazungumzo na Marekani

    Kiongozi wa Korea Kaskazini: Hakuna faida ya kufanya mazungumzo na Marekani

    Oct 11, 2022 03:53

    Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-Un amesema hakuna tija itakayopatikana kwa kufanya mazungumzo yoyote yale na Marekani na akabainisha kuwa kwa upande mmoja Washington inazungumzia kufanya mazungumzo na kuanzisha uhusiano; na kwa upande mwingine inatoa vitisho vya operesheni za kijeshi dhidi ya nchi hiyo.

  • Kuongezeka hitilafu kati ya Marekani na Saudi Arabia

    Kuongezeka hitilafu kati ya Marekani na Saudi Arabia

    Oct 10, 2022 05:48

    Kundi la wabunge wa chama cha Democratic cha Marekani wametaka kuondolewa wanajeshi wa nchi hiyo kutoka Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu, kwa jina jingine Imarati, kufuatia uamuzi wa kundi la OPEC-Plus kupunguza uzalishaji wa mafuta kwa mapipa milioni 2 kwa siku.