-
Kataaib Hizbullah ya Iraq yaanzisha tena mashambulio dhidi ya askari wa Marekani
Apr 22, 2024 02:49Vikosi vya Muqawama wa Iraq vimetangaza kuwa, vimeanza tena kutekeleza operesheni za mashambulio dhidi ya vikosi vya majeshi ya Marekani.
-
HAMAS: Msaada mpya wa Marekani kwa Israel ni kwa ajili ya kuendeleza mauaji ya umati
Apr 21, 2024 23:03Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeilaani Marekani kwa kupasisha msaada mwingine kwa utawala wa Kizayuni na kusema kuwa msaada huo ni kwa ajili ya kuendeleza mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina.
-
"Biden atakuwa msaliti kama atasaini msaada mpya kwa utawala wa Kizayuni"
Apr 21, 2024 23:01Jumuiya ya Waislamu wa Marekani imetangaza kuwa, rais wa nchi hhiyo Joe Biden atakuwa msaliti kama atasaini msaada mpya wa kijeshi kwa utawala wa Kizayuni unaoua kwa umati watoto wadogo huko Ghaza na atakuwa amevuruga kabisa uhusiano wake na Waislamu.
-
Iran yaitoza Marekani faini ya dola bilioni moja kwa kuunga mkono jinai za utawala wa Kipahlavi
Apr 20, 2024 22:49Idara ya Mahakama ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeitoza Marekani faini ya dola bilioni moja kwa kuunga mkono jinai za utawala wa Kipahlavi uliokuwa madarakani Iran kabla ya Mapinduzi ya Kiislamu ya mwaka 1979.
-
Marekani; kizuizi kikuu kwa Palestina kuwa mwanachama kamili katika Umoja wa Mataifa
Apr 20, 2024 08:47Marekani ambayo ni muungaji mkono mkuu wa Israel kwa mara nyingine imetumia kura ya turufu (Veto) na kuzuia kupasishwa uanachama kamili wa Palestina ndani ya Umoja wa Mataifa.
-
OIC yalaani hatua ya Marekani kuzuia azma ya Palestina kuwa mwanachama kamili wa UN
Apr 19, 2024 23:29Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani hatua ya Marekani ya kuzuia ombi la Palestina la kutaka uanachama kamili katika Umoja wa Mataifa, huku Israel ikiendeleza mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza kwa msaada wa baadhi ya nchi za Magharibi hususan Marekani.
-
Marekani yalipigia kura ya veto azimio la kuipatia Palestina uanachama kamili wa Umoja wa Mataifa
Apr 19, 2024 03:59Marekani, ambayo ni muungaji mkono mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, imeendeleza sera yake ya kudhoofisha kupatikana haki za Wapalestina kwa kutumia vibaya haki yake ya kura ya turufu na kukwamisha azimio la kuipatia Palestina uanachama kamili katika Umoja wa Mataifa.
-
Kukiri Pentagon kuhusu uwezo wa kijeshi wa Iran katika kuujibu utawala wa Kizayuni
Apr 18, 2024 08:49Patrick Ryder Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) amekiri juu ya nguvu za kijeshi za Iran katika kutoa jibu la kijeshi kwa utawala wa Israel.
-
Marekani inawashinikiza kwa siri wanachama wa UNSC wapinge Palestina kuwa mwanachama kamili wa UN
Apr 18, 2024 02:51Marekani inazishinikiza kwa siri nchi wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kukataa ombi la Palestina kuwa mwanachama kamili wa taasisi hiyo kuu ya kimataifa.
-
Ombi la Rais wa Marekani kwa Iran: Msiishambulie Israel
Apr 13, 2024 08:39Rais wa Marekani kwa mara nyingine tena, katika uingiliaji wa wazi na kuunga mkono utawala wa Israel, ameiomba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran isijibu mashambulizi ya utawala huo kwenye ubalozi mdogo wa Iran mjini Damascus huko Syria.