-
Russia: Amani haitapatikana Asia Magharibi bila kutatuliwa kadhia ya Palestina
Sep 18, 2020 03:36Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imesema ni kosa kudhani kuwa amani ya kudumu itapatikana katika eneo la Asia Magharibi pasi na kutatuliwa mgogoro wa Palestina.
-
Iran: 'Mashariki ya Kati' mpya itaanzishwa kwa kutimuliwa Marekani katika eneo
Aug 28, 2020 08:05Msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Iran katika masuala ya kimataifa amesema: 'Mashariki ya Kati' mpya itaundwa baada ya kuhakikisha Marekani imeshatimuliwa kikamilifu katika eneo hili la Asia Magharibi.
-
Mapinduzi ya Kiislamu Katika Nadharia za Sayansi ya Jamii (4): Mapinduzi ya Kiislamu yalivyojipambanua na mapinduzi mengine makubwa duniani
Jul 14, 2020 05:43Mazungumzo yetu katika sehemu ya tatu ya kipindi hiki yaliishia pale tulipogusia mitazamo ya waandishi mbali mbali kuhusu nafasi ya dini katika Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.
-
Mapinduzi ya Kiislamu Katika Nadharia za Sayansi ya Jamii (3): Mapinduzi ya Kiislamu yalivyojipambanua na mapinduzi mengine makubwa duniani
Jul 07, 2020 05:12Nukta moja muhimu zaidi inayoyapambanua na kuyatafautisha Mapinduzi ya Kiislamu na mapinduzi mengine makubwa, ni hali ya kijiopolitiki ya Iran. Iran iko kwenye eneo la Mashariki ya Kati, ambalo kabla yake, hayajawahi kutokea Mapinduzi ya Kiislamu au mapinduzi mengine, katika nchi yoyote ile ya eneo hili.
-
UN: Athari za corona kuua watoto 50,000 Afrika Kaskazini na Asia Magharibi
Jun 15, 2020 10:40Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa, yumkini athari za ugonjwa wa COVID-19 zikaua makumi ya maelfu ya watoto katika nchi za kaskazini mwa Afrika na Asia Magharibi.
-
Muqtada al-Sadr: Marekani inapaswa kuondoa vikosi vyake vyote Iraq
Jun 09, 2020 03:32Kiongozi wa Harakati ya Al-Sadr ya nchini Iraq ameitaka Marekani iviondoe mara moja vikosi vyake vyote katika ardhi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Unicef: Mamilioni ya watoto Asia magharibi watasumbuliwa na umaskini kwa sababu ya corona
Apr 21, 2020 21:07Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) umetahadhasriha kuhusu uwezekano wa mamilioni ya watoto katika eneo la Asia magharibi kusumbuliwa na umaskini kutokana na janga la kiuchumi litakalosababishwa na maambukizi ya virusi vya corona.
-
Marekani kutuma askari 4000 Asia Magharibi baada ya ubalozi wake 'kuvamiwa' Iraq
Jan 01, 2020 04:27Serikali ya Washington inajiandaa kutuma wanajeshi 4,000 wa Marekani katika eneo la Asia Magharibi, baada ya wananchi waliokuwa na ghadhabu wa Iraq kufanya maandamano mbele ya ubalozi wa Marekani mjini Baghdad.
-
Rouhani: Iran inataka kuimarisha uhusiano na majirani zake
Sep 30, 2019 23:52Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inatoa kipaumbele katika siasa zake za kigeni suala la kuimarisha ushirikiano na majirani zake.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iran: Marekani ndio chanzo hasa cha kukosekana amani katika eneo
Aug 08, 2019 08:01Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, muungano wa kijeshi unaotaka kuundwa na Marekani wa kisingizio cha kudhamini usalama wa vyombo vya majini ndio utakaosababisha kuvurugika zaidi amani na usalama katika eneo.