-
Waislamu 10 wauawa Nigeria katika kumbukumbu ya Ashura
Oct 12, 2016 15:59Watu wasiopungua 10 wameuawa leo katika mapigano yaliyotokea baina ya jeshi la Nigeria na Waislamu waliokuwa katika maombolezo na kumbukumbu ya mauaji ya mjukuu wa Mtume Muhammad (saw), Imam Hussein bin Ali katika jimbo la Katsina huko kaskazini magharibi mwa Nigeria.
-
Jeshi la Nigeria lawazingira Waislamu wa madehebu ya Shia katika maombolezo ya Imam Hussein AS
Oct 12, 2016 04:24Jeshi la Nigeria limewazingria Waislamu wa madheebu ya Shia waliokuwa wamekusanyika msikitini katika hafla ya maombolezo ya kukumbuka kuuawa shahidi Mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, Imam Hussein AS.
-
Bahrain yawahujumu Mashia wanaoomboleza
Oct 08, 2016 14:14Kwa mara nyingine tena vyombo vya usalama vya utawala wa Aal-Khalifa nchini Bahrain vimewashambulia Waislamu wa madhehebu ya Shia wanaojumuika katika sehemu mbali mbali kwa ajili ya marasimu ya Ashura.
-
Wanazuoni Bahrain wakosoa ukandamizaji dhidi ya Mashia wanaomboleza
Oct 04, 2016 07:59Wanazuoni wakuu wa Kiislamu nchini Bahrain wamelaani ukandamizaji na dhulma zinazofanywa na watawala wa Aal-Khalifa dhidi ya Waislamu wa madhehenu ya Shia hususan wakati huu wanapofanya marasimu mbali mbali ya kukumbuka kuuawa shahidi Imam Hussein AS, mjukuu wa Mtume Mtukufu SAW.
-
Amnesty International yakosoa kukandamizwa Waislamu wa Kishia nchini Bahrain
Sep 02, 2016 04:16Shirika la Msamaha Duniani (Amnesty International) limekosoa na kulaani ukandamizaji mkubwa unaofanywa na utawala wa Bahrain dhidi ya Waislamu wa Kishia wa nchi hiyo.
-
Kuendelea dhuma dhidi ya Waislamu wa Kishia Bahrain
Aug 22, 2016 03:57Shirika la pamoja la kutetea haki za binadamu na demokrasia la Bahrain na Ujerumani limeripoti kuwa utawala wa Aal Khalifa umewaita kuwasaili maulamaa 70 wa Kiislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo.
-
UN yaitaka Bahrain ikomeshe ukandamizaji dhidi ya Mashia
Aug 16, 2016 15:23Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wameutaka utawala wa Aal-Khalifa wa Bahrain uache kuwakandamiza Waislamu wa madhehebu ya Shia na kusisitiza kuwa dhulma hizo ni ukiukaji wa haki za msingi za binadamu.
-
Shakhsia wa kidini Bahrain wazidi kuswekwa korokoroni
Aug 07, 2016 13:16Polisi ya utawala wa Aal-Khalifa nchini Bahrain imewatia mbaroni wanazuoni wanne mashuhuri wa Kiislamu, katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa dhulma na ukandamizaji dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo.
-
Bahrain yaendeleza ubabe, yamkamata kiongozi mwingine wa Kiislamu
Jul 30, 2016 08:10Licha ya makelele ya jamii ya kimataifa na watetezi wa haki za binadamu, utawala wa Aal-Khalifa nchini Bahrain umemtia nguvuni kiongozi mwingine wa Kiislamu.
-
Maandamano ya Waislamu nchini Pakistan
Jul 23, 2016 13:47Maelfu ya wananchi wa Pakistan wameandamana katika miji mbalimbali ya nchi hiyo kupinga mauaji ya Waislamu wenzao wa madhehebu ya Shia na serikali ya nchi hiyo kushindwa kuwachukulia hatua wahusika wa mauaji hayo.