-
Mamia wauawa katika mapigano ya kikabila nchini Ethiopia
Sep 26, 2017 04:29Serikali ya Ethiopia imesema mamia ya watu wameuawa katika mapigano ya kikabila yaliyozuka mapema mwezi huu kusini na mashariki mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
60 wauawa, kujeruhiwa katika mapigano ya makundi hasimu ya kigaidi Somalia
Jul 23, 2017 09:19Kwa akali watu 20 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa baada ya makundi hasimu ya wanamgambo kutandikana yenyewe kwa yenyewe katikati mwa Somalia.
-
Wamisri 292 wafikishwa mahakamani kwa tuhuma ya kutaka kumuua al Sisi
Jul 10, 2017 01:34Watu 292 wa Misri wamefikishwa katika mahakama ya kijeshi ya nchi hiyo kwa tuhuma za kuwa na uhusiano na kundi la kigaidi la Daesh na kupanga njama ya kutaka kumuua Rais wa nchi hiyo, Abdul Fattah al Sisi.
-
Ijumaa, Julai 7, 2017
Jul 06, 2017 23:16Leo ni Ijumaa tarehe 12 Mfunguo Mosi, Shawwal 1438 Hijria, sawa na 07 Julai 2017 Milaadia.
-
Jumanne 27 Juni, 2017
Jun 26, 2017 22:04Leo ni Jumanne tarehe Pili Shawwal 1438 Hijria, inayosadifiana na tarehe 27 Juni 2017.
-
Maandamano yafanyika Marekani baada ya kuuawa binti Muislamu
Jun 20, 2017 03:39Habari ya kuuawa msichana mmoja wa Kiislamu nchini Marekani katika shambulizi lililofanywa na mtu mwenye chuki dhidi ya dini ya Uislamu katika jimbo la Virginia imezusha malalamiko na maandamano nchini humo.
-
Jumanne 20 Juni, 2017
Jun 19, 2017 21:57Leo ni Jumanne tarehe 25 Ramadhani mwaka 1438 Hijria sawa na tarehe 20 Juni mwaka 2017.
-
Mke wa Waziri Mkuu Mpya wa Lesotho auawa kwa kupigwa risasi
Jun 15, 2017 10:56Mke wa Tom Thabane, Waziri Mkuu Mpya wa Lesotho alipigwa risasi na mtu asiyejulikana jana jioni masaa machache baada ya mumewe kuapishwa, kitendo kilichozidisha wasiwasi kuhusu uwezekano wa kuibuka wimbi jipya la ghasia za kisiasa katika nchi hiyo ya kusini mwa Afrika.
-
Watu 12 wauawa na kujeruhiwa kwa risasi Florida, Marekani
Jun 05, 2017 23:00Watu 12 wameuawa na kujeruhiwa katika tukio la ufyatuaji risasi katika wilaya ya Orlando, jimboni Florida nchini Marekani.
-
ICC: Mauaji ya kutisha CAR lazima yakomeshwe
May 24, 2017 03:22Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC amelaani vikali mauaji ya kutisha yanayofanyika Jamhuri ya Afrika ya Kati huku ikitaka mapigano mapya yanayoendelea katika mji wa Bangassou, karibu na mpaka wa nchi hiyo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yasitishwe mara moja.