-
Watu 10 wauawa katika shambulizi la ISIS eneo la Sinai, Misri
Nov 10, 2017 11:15Kwa akali watu 10 wameuawa katika shambulizi la kundi la kigaidi lenye mafungamano la genge la kitakfiri la Daesh (ISIS) katika eneo la Sinai nchini Misri.
-
El-Sisi: Magaidi wa Daesh walioshindwa Iraq na Syria ni hatari kwa Libya na Misri
Nov 09, 2017 11:35Rais Abdel Fattah el-Sisi wa Misri ametoa tahadhari juu ya hatari ya wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh walioshindwa nchini Iraq na Syria kuingia Libya na kuchafua zaidi usalama wa nchi hiyo na majirani wake.
-
Kutofuata Misri siasa za Saudia dhidi ya Hizbullah ya Lebanon
Nov 09, 2017 10:07Rais wa Misri amesema kuwa licha ya Saudi Arabia kuzitaka nchi nyingine za Kiarabu kuiwekea vikwazo Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah, serikali ya Cairo haina mpango wowote wa kutekeleza vikwazo hivyo dhidi ya harakati hiyo.
-
Misri yakataa kuburuzwa na Saudia; yapinga vikwazo dhidi ya Hizbullah ya Lebanon
Nov 08, 2017 04:22Rais Abdel Fattah el Sisi wa Misri amesisitiza kuwa, licha ya Saudi Arabia kuzitaka nchi za Kiarabu ziiwekee vikwazo Hizbullah ya Lebanon lakini Cairo haina nia kabisa ya kufanya hivyo.
-
Rais Al-Sisi wa Misri: Ninaheshimu katiba, sitagombea uchaguzi wa mwakani
Nov 07, 2017 23:25Rais Abdel Fattah el-Sisi wa Misri amesema kuwa, hatojiandikisha kwa jili ya kugombea tena ushaguzi wa rais ujao kwa muhula wa tatu.
-
Watu wanne wauawa katika shambulizi la roketi Sinai, Misri
Oct 31, 2017 10:17Raia wanne wamepoteza maisha katika shambulizi la roketi lililotokea leo Jumanne katika mji wa Arish, katika Peninsula ya Sinai nchini Misri.
-
Polisi 12 wauawa na kujeruhiwa nchini Misri
Oct 30, 2017 00:29Duru za usalama za Misri zimetangaza habari ya kushambuliwa gari la polisi wa nchi hiyo na watu wenye silaha katika mkoa wa Sinai Kaskazini.
-
Wafungwa zaidi ya elfu moja wa jela ya Tora Misri waanza mgomo wa kula
Oct 28, 2017 11:59Wafungwa wa jela yenye ulinzi mkali ya Tora mjini Cairo Misri wameanza mgomo wa kula chakula wakipinga mazingira mabaya yanatotawala jela hiyo.
-
Wanamgambo wa Hasm waua maafisa wasiopungua 30 wa polisi nchini Misri
Oct 21, 2017 00:50Mapigano yaliyotokea jana Ijumaa kati ya maafisa wa polisi na wanamgambo wa kundi la Hasm huko kusini mwa mji mkuu Cairo yamepelekea maafisa wasiopungua 30 wa polisi kuuawa na wengine wengi kujeruhiwa.
-
Magaidi wavunja benki na kushambulia kanisa Misri, 7 wauawa
Oct 16, 2017 10:28Kwa akali watu saba wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya genge moja la kigaidi kuvamia benki na kuiba, sambamba na kushambulia kanisa katika eneo la Sinai, kaskazini mwa nchi.