Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Morocco

  • Tanzania na Morocco zasaini mikataba ya ushirikiano katika maeneo zaidi ya 20

    Tanzania na Morocco zasaini mikataba ya ushirikiano katika maeneo zaidi ya 20

    Oct 26, 2016 01:10

    Tanzania na Morocco zimesaini mikataba ya kushirikiana katika nyanja zaidi ya 20.

  • Morocco yaelekea Afrika Mashariki kutafuta uungaji mkono AU

    Morocco yaelekea Afrika Mashariki kutafuta uungaji mkono AU

    Oct 20, 2016 10:04

    Mfalme Mohammed wa VI wa Morocco ameanza ziara ya nchi tatu za Afrika Mashariki katika juhudi za kutafuta uungaji mkono wa kurejea nchi hiyo kuwa mwananchama wa Umoja wa Afrika, baada ya kujiondoa kwenye umoja huo zaidi ya miongo mitatu iliyopita.

  • Baraza la Taifa la Haki za Binadamu la Morocco lasifu uchaguzi wa bunge

    Baraza la Taifa la Haki za Binadamu la Morocco lasifu uchaguzi wa bunge

    Oct 09, 2016 23:14

    Baraza la Taifa la Haki za Binadamu la Morocco limesema kuwa kutokuwepo malalamiko na misimamo hasi kutoka kwa wapinzani kuhusu uchaguzi wa bunge wa hivi majuzi nchini humo ni ishara kwamba uchaguzi huo ulikuwa wa wazi na wa haki.

  • Chama cha Kiislamu Morocco chapata ushindi viti Bunge

    Chama cha Kiislamu Morocco chapata ushindi viti Bunge

    Oct 08, 2016 04:34

    Chama cha Kiislamu cha Uadilifu na Maendeleo (PJD), ambacho kwa miaka mitano kimeongoza serikali ya mseto Morocco, kinatazamiwa kupata ushindi katika uchaguzi wa Bunge, matokeo ya awali yameonyesha.

  • Genge la wanawake wenye uhusiano na Daesh watiwa mbaroni Morocco

    Genge la wanawake wenye uhusiano na Daesh watiwa mbaroni Morocco

    Oct 03, 2016 23:27

    Duru rasmi nchini Moroco zimearifu habari ya kutiwa mbaroni wanawake kumi wenye mfungamano na kundi la kigaidi la Daesh ambao walikuwa na lengo la kutekeleza mashambulizi ya kigaidi katika miji kadhaa nchini humo.

  • Morocco yaangamiza kundi la kigaidi linalofungamana na ISIS

    Morocco yaangamiza kundi la kigaidi linalofungamana na ISIS

    Sep 07, 2016 23:27

    Wakuu wa Morocco wametangaza kufanikiwa kuangamiza kundi moja la kigaidi nchini humo.

  • Jumatatu tarehe tarehe 5 Septemba 2016

    Jumatatu tarehe tarehe 5 Septemba 2016

    Sep 06, 2016 23:21

    Leo ni Jumatatu tarehe 3 Dhilhija 1437 Hijria sawa na tarehe 5 Septemba 2016.

  • Mfalme wa Morocco aweka wazi azma ya nchi hiyo kurejea AU

    Mfalme wa Morocco aweka wazi azma ya nchi hiyo kurejea AU

    Jul 18, 2016 03:09

    Mfalme Mohammed wa VI wa Morocco ametangaza wazi azma ya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika ya kutaka kurejea katika Umoja wa Afrika AU, baada ya kuondoka katika umoja huo zaidi ya miongo mitatu iliyopita.

  • Raia wa Italia anayeaminika kuwa Daesh akamatwa Morocco

    Raia wa Italia anayeaminika kuwa Daesh akamatwa Morocco

    Jun 13, 2016 10:50

    Vyombo vya usalama nchini Morocco vimesema kuwa vimemtia nguvuni raia wa Italia anayeaminika kuwa na mafungamano na kundi la kigaidi la Daesh.

  • Hatimaye Marekani yaiomba radhi serikali ya Morocco kwa ripoti yake ya hivi karibuni

    Hatimaye Marekani yaiomba radhi serikali ya Morocco kwa ripoti yake ya hivi karibuni

    May 22, 2016 02:50

    Marekani imeiomba rasmi msamaha serikali ya Morocco kufuatia ripoti yake ya hivi karibuni inayohusu masuala ya haki za binaadamu nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS