Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Msumbiji

  • Magaidi 129 wameuawa ndani ya mwezi mmoja na maafisa usalama Msumbiji

    Magaidi 129 wameuawa ndani ya mwezi mmoja na maafisa usalama Msumbiji

    Apr 29, 2020 11:12

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Msumbiji ametangaza habari ya kuuawa makumi ya wanachama wa magenge ya kigaidi kaskazini mwa nchi katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita.

  • Makumi ya wanakijiji wauawa na magaidi kaskazini mwa Msumbiji

    Makumi ya wanakijiji wauawa na magaidi kaskazini mwa Msumbiji

    Apr 22, 2020 12:57

    Jeshi la Polisi la Msumbiji limetangaza habari ya kuuawa makumi ya watu katika shambulizi jipya la kigaidi lililotokea huko kaskazini mwa nchi hiyo ya kusini mwa Afrika.

  • Kampuni ya Total ya Ufaransa inatuhumiwa kueneza virusi vya Corona nchini Msumbiji

    Kampuni ya Total ya Ufaransa inatuhumiwa kueneza virusi vya Corona nchini Msumbiji

    Apr 18, 2020 00:42

    Maafisa Afya wa Msumbiji wamesema kuwa kampuni ya mafuta ya Total ya Ufaransa imehusika kueneza maambukizi ya virusi vya corona nchini humo.

  • "Wahajiri" 60 wapatikana wameaga dunia ndani ya lori Msumbiji

    Mar 26, 2020 11:27

    Miili zaidi ya 60 imepatikana ndani ya lori la mizigo katika mkoa wa Tete, kaskazini magharibi mwa Msumbiji.

  • UN: Vijiji vinachomwa na watu wanakatwa vichwa na kutekwa nyara kwa halaiki kaskazini mwa Msumbiji

    UN: Vijiji vinachomwa na watu wanakatwa vichwa na kutekwa nyara kwa halaiki kaskazini mwa Msumbiji

    Feb 08, 2020 12:57

    Umoja wa Mataifa umesema, watu wanayakimbia makazi yao ili kujinusuru na wimbi la hujuma na mashambulio katika mkoa wa Cabo Delgado, kaskazini mwa Msumbiji ambako mashuhuda wamesema, raia wanakatwa vichwa na kutekwa nyara kwa umati huku vijiji vya eneo hilo vikiteketezwa kwa moto.

  • Rais Nyusi wa Msumbiji aapishwa, upinzani wasusia

    Rais Nyusi wa Msumbiji aapishwa, upinzani wasusia

    Jan 16, 2020 02:32

    Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji alikula kiapo cha kulitumikia taifa jana Jumatano katika hafla iliyosusiwa na viongozi mashuhuri wa upinzani nchini humo, wanaosisitiza kuwa kuliwepo na udanganyifu katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka uliomalizika wa 2019.

  • Mahakama Msumbiji yapinga rufaa ya wapinzani kuhusu matokeo ya uchaguzi

    Mahakama Msumbiji yapinga rufaa ya wapinzani kuhusu matokeo ya uchaguzi

    Nov 15, 2019 13:51

    Mahakama ya Katiba Msumbiji imetupilia mbali rufaa ya chama cha upinzani cha Renamo ambacho kilikuwa kinataka kufutwa matokeo ya uchaguzi mkuu wa hivi karibuni.

  • Upinzani Msumbiji wakataa kukubali matokeo ya uchaguzi

    Upinzani Msumbiji wakataa kukubali matokeo ya uchaguzi

    Oct 20, 2019 07:27

    Chama kikuu cha upinzani cha Renamo nchini Msumbiji kimepinga matokeo ya uchaguzi wa urais uliofanyika Jumanne iliyopita.

  • Wamsumbiji washiriki katika uchaguzi muhimu kwa amani na usalama wa nchi yao

    Wamsumbiji washiriki katika uchaguzi muhimu kwa amani na usalama wa nchi yao

    Oct 15, 2019 08:04

    Wananchi wa Msumbiji leo wameelekea kwenye vituo vya kupigia kura kushiriki katika uchaguzi unaotazamiwa kupima mafanikio ya makubaliano tete ya amani yaliyosainiwa miezi miwili iliyopita kati ya chama tawala cha Frelimo na hasimu wake wa vita vya muda mrefu vya ndani Renamo, ambayo sasa ni chama cha siasa cha upinzani.

  • UNICEF: Watoto milioni moja wanakabiliwa na hatari ya kifo nchini Msumbiji

    UNICEF: Watoto milioni moja wanakabiliwa na hatari ya kifo nchini Msumbiji

    Sep 18, 2019 07:50

    Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, watoto milioni moja nchini Msumbiji wanakabiliwa na hatari ya kifo baada ya nchi hiyo kukumbwa na kimbunga.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS