-
Kuchomoza Nuru ya Uongofu; Maadhimisho ya Uzawa wa Bwana Mtume Muhammad SAW
Nov 24, 2018 07:27Assalamu Alaykum Warahamtullahi Wabarakatuh. Wasikilizaji wapenzi, tungali tumo kwenye masiku ya kuadhimisha Maulidi, yaani uzawa wa shakhsia wa kustaajabisha katika historia na zama, ambaye alipambika kwa sifa bora za akhlaqi, zilizowavutia watu na kuwajenga kiutu.
-
Jumanne 20 Novemba 2018
Nov 20, 2018 03:41leo ni Jumanne 12 Rabiul Awwal 1440 Hijria sawa na tarehe 20 Novemba 2018.
-
Jumapili Novemba 18
Nov 18, 2018 02:46Leo ni Jumapili tarehe 10 Mfungo Sita Rabiul-Awwal 1440 Hijiria, sawa na tarehe 18 Novemba 2018 Miladia.
-
Khadija al-Kubra; johari inayong’ara katika nyumba ya Bwana Mtume SAW
Nov 17, 2018 12:57Assalamu alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kukumbusha siku ya kufunga ndoa Bwana Mtume SAW na Bibi Khadija binti Khuwaylid AS.
-
Waislamu wahimizwa kusherehekea kwa amani na mapenzi Maulidi ya Mtume + Sauti
Nov 16, 2018 06:50Mkurugenzi wa Kitengo cha Utamaduni cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania Bw. Ali Bagheri amesema kuwa, maadhimisho ya Maulidi na kuzaliwa Mtume Muhammad SAW kunaleta mapenzi kwa Waislamu wote, hivyo waitumie fursa hiyo kuimarisha udugu wao. Amari Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam
-
Adhama ya Maulidi (Kuzaliwa) ya Mtume Muhammad SAW
Nov 13, 2018 08:46Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Kama mnavyojua, tumo ndani ya Mfunguo Sita, mwezi ambao alizaliwa Bwana wetu Muhammad SAW. Leo katika dakika hizi chache, tutazungumzia adhama ya kuzaliwa mtukufu huyo tukiwa na matumaini mtakuwa nasi hadi mwisho wa maelezo haya mafupi.
-
Kipindi maalumu kwa mnasaba wa kukumbuka alipofariki dunia Mtume (saw) + Kasida
Nov 05, 2018 02:43Mtume wa Mwisho wa Mwenyezi Mungu, Muhammad (saw) aliaga dunia tarehe 28 Swafar mwaka wa 11 Hijiria katika mji mtakatifu wa Madina akiwa na umri wa miaka 63 na kuzikwa katika mji huohuo.
-
Ruwaza Njema (1)
Sep 14, 2018 04:23(Kumfuata al-Mustafa katika kikao chake)