-
Je, inatosha kwa nchi za Magharibi kulaani kwa maneno matupu jinai za utawala wa Israel?
Aug 26, 2025 02:42Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi 21 za Magharibi kwa pamoja wamelaani uamuzi wa Israel wa kujenga makaazi mapya ya walowezi wa Kizayuni huko Quds Mashariki.
-
Tangu Agosti 6, jeshi la Israel limebomoa kikamilifu majengo zaidi ya 1,000 ya Mji wa Ghaza
Aug 25, 2025 06:59Shirika la Ulinzi wa Raia la Palestina limetangaza kuwa jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel limebomoa kikamilifu majengo zaidi ya 1,000 katika vitongoji vya Zeitoun na Sabra katika Mji wa Ghaza tangu lilipoanza kuuvamia mji huo mnamo Agosti 6, na hivyo kupelekea mamia ya Wapalestina kunasa chini ya vifusi vya majengo hayo.
-
Israel yasaini makubaliano ya kihistoria ya kuiuzia Misri gesi yenye thamani ya dola bilioni 35
Aug 09, 2025 06:57Utawala wa kizayuni wa Israel umetangaza kusainiwa mkataba mkubwa utakaogharimu dola bilioni 35 wa kuiuzia Misri gesi asilia, unaotajwa kuwa ni "mkubwa zaidi katika historia ya Israel". Hayo yameelezwa na Eli Cohen, waziri wa nishati wa utawala huo ghasibu.
-
Nchi za Magharibi zina nafasi gani katika kuongezeka ugaidi Afrika?
Jan 23, 2025 02:48Kuongezeka kwa shughuli za kigaidi katika maeneo mbalimbali ya Afrika kumegeuka kuwa tatizo kubwa katika bara hilo na pia katika mataifa mengi duniani. Hivi sasa, makundi kadhaa ya kigaidi yanaendesha shughuli zao katika maeneo tofauti ya Afrika.
-
Rais wa Iran akosoa uungaji mkono wa US, EU kwa jinai za Israel
Oct 08, 2024 12:00Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezikosoa vikali Marekani na nchi za Ulaya kwa kuunga mkono jinai zinazofanywa na utawala khabithi wa Israel.
-
Onyo la Iran kwa waungaji mkono wa Israel; Kaeni mbali na vita
Oct 04, 2024 07:52Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amezionya nchi za Magharibi na waungaji mkono wengine wa Israel katika eneo dhidi ya kuingilia mzozo kati ya Jamhuri ya Kiislamu na utawala wa Kizayuni.
-
Bin Salman ahofia kuuawa kwa kufuatilia mpango wa kuanzishwa uhusiano rasmi kati ya Saudia na Israel
Aug 15, 2024 03:45Mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman ameripotiwa kuwa anahofia "kuuawa" kwa sababu ya juhudi zake za kutaka kuhakikisha ufalme huo unaanzisha uhusiano rasmi na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Iran: Nchi za Magharibi zimepoteza utu na heshima katika vita vya Gaza
Aug 06, 2024 13:20Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, nchi za Magharibi zimepoteza utu na heshima yao katika vita dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza na zimekumbwa na mmomonyoko wa kimaadili na mporomoko wa ustaarabu.
-
Raisi: Mkono wa chuma hauwezi kuzima harakati ya wanachuo Magharibi ya kuunga mkono Palestina
Apr 29, 2024 07:21Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, harakati ya wanafunzi, maprofesa na wasomi wa nchi za Magharibi za kuwaunga mkono wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina ni tukio kubwa lenye muelekeo mipana ambalo haliwezi kuzimwa kwa ukandamizaji, vipigo, kamatakamata na vitendo vya utumiaji mabavu.
-
Umoja wa Mataifa walaani njama za kuichafua UNRWA
Feb 07, 2024 02:22Maripota wa Umoja wa Mataifa wametangaza kuwa, wanalaani vikali jaribio lolote la kuharamisha na kulichafua Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada na Ajira kwa Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA).