-
Alkhamisi tarehe 11 Februari mwaka 2021
Feb 11, 2021 09:26Leo ni Alkhamisi tarehe 28 Jamadithani 1442 Hijria sawa na Februari 11 mwaka 2021.
-
Chama tawala cha Afrika Kusini (ANC) chalaani vitendo vya dharau vya Trump kwa mzee Mandela
Sep 10, 2020 01:20Chama tawala nchini Afrika Kusini (ANC) kimelaani matamshi ya ufidhuli na dharau aliyoyatoa rais wa Marekani, Donald Trump kuhusu mwendazake Mzee Nelson Mandela, Rais wa kwanza raia mweusi wa Afrika Kusini.
-
Mjukuu wa Mandela akosoa mapatano ya kuanzisha uhusiano baina ya Imarati na Israel
Aug 16, 2020 03:11Mjukuu wa shujaa wa mapambano dhidi ya utawala wa ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini amekosoa mapatano ya kuanzishwa uhusiano wa kidiplomasia baina ya Imarati na utawala haramu wa Israel.
-
Jumanne tarehe 30 Juni mwaka 2020
Jun 30, 2020 02:34Leo ni Jumanne tarehe 8 Dhulqaada 1441 Hijria sawa na Juni 30 mwaka 2020.
-
Jumanne, tarehe 11 Februari, 2020
Feb 11, 2020 04:40Leo ni Jumanne tarehe 16 Jamadithani 1441 Hijria sawa na 11 Februari 2020.
-
Alkhamisi tarehe 5 Disemba 2019
Dec 05, 2019 01:21Leo ni Alkhamisi tarehe 8 Rabiuthani 1441 Hijria sawa na Disemba 5 mwaka 2019.
-
Mwisho wa Apartheid Afrika Kusini na kuendelea kwake maeneo mengine ya dunia
Jul 03, 2019 07:39Jumapili ya terehe 30 ilikuwa siku ya kumbukumbu ya tukio muhimu sana katika historia ya Afrka na dunia nzima. Ilikuwa siku ya kufutwa mfumo usio wa kibinadamu wa Apartheid huko Afrika Kusini mwaka 1991.
-
Jumatatu, tarehe 11 Februari, 2019
Feb 11, 2019 02:49Leo ni Jumatatu tarehe 5 Jamadithani 1440 Hijria sawa na Februari 11 mwaka 2019.
-
Jumatano tarehe 5 Disemba 2018
Dec 05, 2018 01:08Leo ni Jumatano tarehe 27 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1440 Hijria sawa na Disemba 5 mwaka 2018.
-
Mjukuu wa Mandela: Utawala kandamizi wa Israel ni mbaya zaidi kuliko ule wa ubaguzi wa rangi
Oct 12, 2018 17:12Mjukuu wa shujaa wa uhuru wa Afrika Kusini Mzee Nelson Mandela amefananisha mauaji yanayofanywa na Israel dhidi ya waandamanaji wa Palestina huko katika Ukanda wa Gaza na mauaji yaliyofanywa na utawala wa ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini katika eneo la Sharpeville mwaka 1960 na kusisitiza kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel ni mbaya zaidi kuliko ule wa apartheid.