-
Jumatano tarehe 5 Disemba 2018
Dec 04, 2018 21:38Leo ni Jumatano tarehe 27 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1440 Hijria sawa na Disemba 5 mwaka 2018.
-
Mjukuu wa Mandela: Utawala kandamizi wa Israel ni mbaya zaidi kuliko ule wa ubaguzi wa rangi
Oct 12, 2018 13:42Mjukuu wa shujaa wa uhuru wa Afrika Kusini Mzee Nelson Mandela amefananisha mauaji yanayofanywa na Israel dhidi ya waandamanaji wa Palestina huko katika Ukanda wa Gaza na mauaji yaliyofanywa na utawala wa ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini katika eneo la Sharpeville mwaka 1960 na kusisitiza kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel ni mbaya zaidi kuliko ule wa apartheid.
-
Siku ya Kimataifa ya Shujaa Mandela Yaadhimishwa
Jul 18, 2018 22:37Dunia imeadhimisha Siku ya Nelson Mandola ikiwa ni mwaka wa 100 tangu kuzaliwa kwa Rais wa kwanza Mwafrika wa Afrika Kusini
-
Jumatano tarehe 18 Julai 2018
Jul 17, 2018 21:58Leo ni Jumatano tarehe 04 Dhulqaada 1439 Hijria sawa na Julai 18, 2018.
-
Jumamosi, Juni 30, 2018
Jun 29, 2018 23:31Leo ni Jumamosi tarehe 16 Mfunguo Mosi Shawwal 1439 Hijria mwafaka na tarehe 30 Juni 2018 Miladia.
-
Iran yaomboleza kifo cha mwanamapambano mwenza wa Mandela, Winnie
Apr 03, 2018 09:32Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za rambirambi kufuatia kuaga dunia Bi. Winnie Mandela, mwanamapambano mwenza wa hayati Shujaa Nelson Mandela kiongozi wa harakati ya kupambana na mfumo wa ubaguzi wa rangi Afrika Kusini.
-
Winnie Mandela afariki dunia akiwa na umri wa miaka 81
Apr 02, 2018 14:20Winnie Mandela, mke wa zamani wa Mzee Nelson Mandela wa Afrika Kusini amefaniki dunia leo Jumatatu, Aprili 2, 2018 akiwa na umri wa miaka 81.
-
Jumapili, Februari 11, 2018
Feb 11, 2018 02:00Leo ni Jumapili tarehe 24 Mfunguo Nane, Jamadil-Awwal 1439 Hijiria, inayosadiafiana na tarehe 11 Februari 2018 Miladia.
-
Jumanne tarehe 5 Disemba, 2017
Dec 04, 2017 23:11Leo ni Jumanne tarehe 16 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1439 Hijria sawa na tarehe 5 Disemba 2017 Miladia.
-
Jumamosi, Februari 11, 2017
Feb 11, 2017 02:31Leo ni Jumamosi tarehe 13 Mfunguo Nane Jamad al-Awwal 1438 Hijria mwafaka na tarehe 11 Februari 2017 Miladia.