-
Netanyahu afurahishwa na hatua ya Trump ya kuikatia misaada Mamlaka ya Ndani ya Palestina
Mar 26, 2018 03:08Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel ameelezea kufurahishwa sana na hatua ya rais wa Marekani na Baraza la Congress la nchi hiyo ya kupasisha sheria inayojulikana kwa jina la Taylor Force ambayo inaamrisha kukatwa misaada ya Marekani kwa Mamlaka ya Ndani ya Palestina inayoongozwa na Mahmoud Abbas.
-
Waisrael washadidisha maandamano ya kumtaka Netanyahu ajiuzulu
Feb 16, 2018 23:11Maelfu ya Waisraeli wamefanya maandamano katika mji mkuu Tel Aviv kushinikiza kujiuzulu Waziri Mkuu wa utawala ghasibu wa Israel, siku chache baada ya polisi ya Israel kupendekeza Benjami Netanyahu afunguliwe mashitaka kutokana na kashfa za ufisadi wa kifedha anazokabiliwa nazo.
-
Bandera za Israel zachomwa moto kumkaribisha Netanyahu India
Jan 14, 2018 04:32Maandamano makubwa yameshuhudiwa katika mji mkuu wa India, New Delhi, kabla ya kuanza safari ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu katika nchi hiyo.
-
Mtego wa Israel kwa Saudia, kuwatenga Aal Saud na ulimwengu wa Kiislamu
Dec 15, 2017 02:39Gazeti la Kizayuni la Haaretz limetangaza kuwa, Yisrael Katz, waziri wa masuala ya kijasusi wa utawala wa Kizayuni wa Israel amemwita mjini Tel Aviv, Muhammad bin Salman, mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia.
-
Njama za utawala haramu wa Israel za kujipenyeza barani Afrika
Nov 29, 2017 13:13Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel ambaye serikali yake inafanya njama za kujipenyeza barani Afrika amesema kuwa, ana matumaini utawala huo ghasibu utafungua ubalozi mpya katika moja ya nchi za barani hilo.
-
Atwan: Israel haina ubavu wa kutekeleza vitisho inavyotoa dhidi ya Iran
Nov 29, 2017 01:35Gazeti la Al-Ra'yul-Yaum limeandika kuhusu vitisho hewa vya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kueleza kwamba Tel Aviv haiwezi kutekeleza kivitendo vitisho vyake vya kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya Iran nchini Syria na kumuua kigaidi Jenerali Qassim Soleimani, kwa sababu ikijaribu kufanya hivyo itakabiliwa na mwisho mbaya na si hasha ikawa sababu ya kuangamizwa moja kwa moja.
-
Netanyahu akiri kustawi uhusiano wa Israel na baadhi ya nchi za Kiarabu
Nov 15, 2017 00:22Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amesema hatofafanua kwa undani kinachoendelea katika uhusiano wa utawala huo na baadhi ya nchi za Kiarabu lakini amesisitiza kwamba uhusiano wa Tel Aviv na nchi hizo umo katika hali ya kupanuka na kustawi.
-
Waisraeli waandamana Tel Aviv dhidi ya ufisadi wa Netanyahu
Oct 08, 2017 04:20Wakazi wa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu utawala wa Kizayuni wameandamana huko Tel Aviv wakitaka kushughulikiwa kesi ya ufisadi inayomkabili Waziri Mkuu wa utawala huo ghasibu.
-
Iran yatoa jibu kwa matamshi ya kilaghai ya Netanyahu katika UNGA
Sep 20, 2017 02:58Mshauri wa ofisi ya uwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema matamshi dhidi ya Iran aliyotoa Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ni ya kinafiki na ya kilaghai.
-
Ubalozi mdogo wa Israel wafungwa New York, Netanyahu atishiwa kuuawa
Sep 16, 2017 03:47Ubalozi mdogo wa utawala haramu wa Israel mjini New York, Marekani umefungwa baada ya kupokea vitisho.