Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Niger

  • Mgogoro wa Mapinduzi ya Kijeshi nchini Niger

    Mgogoro wa Mapinduzi ya Kijeshi nchini Niger

    Aug 05, 2023 04:53

    Mgogoro wa kisiasa uliosababishwa na mapinduzi ya kijeshi yaliyotokea nchini Niger umeendelea kutawala habari za eneo la Magharibi mwa Afrika.

  • Ujumbe wa ECOWAS waondoka Niger bila kukutana na kiongozi wa mapinduzi

    Ujumbe wa ECOWAS waondoka Niger bila kukutana na kiongozi wa mapinduzi

    Aug 04, 2023 08:39

    Ujumbe wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) umeondoka katika mji mkuu wa Niger, Niamey bila kukutana na kiongozi wa mapinduzi, Jenerali Abdourahmane Tchiani, huku rais aliyeondolewa madarakani, Mohamed Bazoum akitoa wito kwa jamii ya kimataifa kusaidia kurejesha utawala wa kikatiba.

  • Niger yasimamisha matangazo ya France 24 na RFI

    Niger yasimamisha matangazo ya France 24 na RFI

    Aug 04, 2023 04:37

    Serikali ya mpito ya kijeshi ya Niger imetangaza kusitisha nchini humo matangazo na shughuli za redio ya Kifaransa ya RFI na televisheni ya France 24 zinazofadhiliwa na serikali ya Ufaransa.

  • Maelfu waandamana Niger wakitaka kufukuzwa askari wa US, Ufaransa

    Maelfu waandamana Niger wakitaka kufukuzwa askari wa US, Ufaransa

    Aug 03, 2023 23:27

    Maelfu ya wananchi wa Niger wamefanya maandamano katika mji mkuu Niamey, wakitaka kufukuzwa nchini humo mara moja wanajeshi wa Marekani na Ufaransa.

  • Uingiliaji wa kigeni katika mapinduzi ya Niger

    Uingiliaji wa kigeni katika mapinduzi ya Niger

    Aug 01, 2023 11:36

    Baada ya kupita takribani wiki moja tangu kutokea mapinduzi ya kijeshi nchini Niger, mgogoro wa kisiasa umeenea katika nchi hiyo na nchi na taasisi za kieneo na kimataifa zimechukua misimamo tofauti katika uwanja huu.

  • Watawala wapya wa Niger wanaonya juu ya uingiliaji wowote wa kijeshi wa kigeni, Ulaya yatishia kuwawekea vikwazo

    Watawala wapya wa Niger wanaonya juu ya uingiliaji wowote wa kijeshi wa kigeni, Ulaya yatishia kuwawekea vikwazo

    Jul 29, 2023 00:07

    Watawala wapya wa kijeshi nchini Niger wameonya dhidi ya uingiliaji wowote wa majeshi ya kigeni nchini humo baada ya kumtangaza Jenerali Abdourahmane Tchiani, Mkuu wa Gadi ya Rais wa Niger, kuwa kiongozi wa serikali ya mpito ya nchi hiyo ya Magharibi mwa Afrika; huku Umoja wa Ulaya na Ufaransa zikitishia kuiwekea Niger vikwazo.

  • Jenerali Tchiani atangazwa mkuu wa serikali ya mpito Niger

    Jenerali Tchiani atangazwa mkuu wa serikali ya mpito Niger

    Jul 28, 2023 08:45

    Jenerali Abdourahmane Tchiani, Mkuu wa Gadi ya Rais wa Niger ameteuliwa kuwa kiongozi wa serikali ya mpito ya nchi hiyo ya Magharibi mwa Afrika, siku moja baada ya jeshi la nchi hiyo kutangaza kuwa limemuondoa madarakani Rais Mohamed Bazoum.

  • UN yalaani mapinduzi ya kijeshi Niger; wananchi waandamana

    UN yalaani mapinduzi ya kijeshi Niger; wananchi waandamana

    Jul 27, 2023 07:23

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa taarifa akilaani vikali mapinduzi ya kijeshi yaliyomuondoa madarakani Rais Mohamed Bazoum wa Niger.

  • Magaidi 55 waangamizwa katika operesheni ya pamoja ya majeshi ya Niger na Nigeria

    Magaidi 55 waangamizwa katika operesheni ya pamoja ya majeshi ya Niger na Nigeria

    May 30, 2023 02:45

    Jeshi la Niger limetangaza kuwa wanajeshi wawili na magaidi 55 wakiwemo makamanda wa ngazi za juu wa kundi la kigaidi la DAESH(ISIS) Afrika Magharibi wameuawa katika operesheni ya pamoja iliyotekelezwa na jeshi hilo na lile la Nigeria.

  • Jeshi la Niger limedai kuua magaidi wasiopungua 20 karibu na Nigeria

    Jeshi la Niger limedai kuua magaidi wasiopungua 20 karibu na Nigeria

    Mar 22, 2023 23:23

    Jeshi la Niger limesema kuwa wiki iliyopita liliua magaidi wasiopungua 20 wa kundi la Boko Haram na kuwtaia nguvuni washukiwa wengine 83 wa kundi hilo katika operesheni waliyofanya kwenye mpaka wa nchi hiyo na Nigeria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS