-
ECOWAS yatambua rasmi Baraza la Kijeshi la Niger
Dec 11, 2023 11:55Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imelitambua rasmi kwa njia isiyo ya moja kwa moja Baraza la Kijeshi linalotawala Niger.
-
Mahakama ya Afrika Magharibi yatupilia mbali pingamizi la vikwazo kwa uongozi wa kijeshi wa Niger
Dec 08, 2023 03:17Mahakama ya Afrika Magharibi Jana imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa na uongozi wa kijeshi wa Niger kwa ajili ya kuiondolea nchi hiyo vikwazo ilivyowekewa na jumuiya ya kikanda ya Ecowas baada ya mapinduzi nchini humo.
-
Umoja wa Ulaya wakubaliana juu ya fremu ya vikwazo kwa Niger
Oct 24, 2023 02:22Umoja wa Ulaya umepitisha mfumo wa kuwawekea vikwazo viongozi wa serikali ya kijeshi iliyochukua mamlaka ya uongozi huko Niger mwezi Julai mwaka huu.
-
Niger yamtaka Balozi wa UN aondoke nchini humo ndani ya saa 72
Oct 11, 2023 12:09Baraza la kijeshi linalotawala Niger limemtaka Balozi wa Umoja wa Mataifa nchini humo kuondoka katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi katika kipindi cha saa 72 zijazo.
-
Ufaransa yaanza kuondoa wanajeshi wake Niger
Oct 10, 2023 13:36Ufaransa imeanza zoezi la kuwaondoa wanajeshi wake nchini Niger, baada ya kutimuliwa na baraza la kijeshi linalotawala nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
-
Baraza la Kijeshi Niger: Kituo cha kijeshi cha Ufaransa kitavunjwa mwisho wa mwaka huu
Oct 05, 2023 13:46Baraza la kijeshi la Niger limetangaza katika taarifa kwamba kituo cha kijeshi cha Ufaransa kilichoko katika mji mkuu Niamey, ambako ndiko waliko wanajeshi wengi wa Ufaransa kitavunjwa ifikapo mwisho wa mwaka huu wa 2023.
-
Jenerali Tumba: Ufaransa haitaki kuwaondoa wanajeshi wake Niger
Oct 04, 2023 06:40Waziri wa Mambo ya Ndani wa Baraza la Kijeshi linaloongoza Niger ameeleza kuwa Ufaransa haina mpangp wa kuwaondoa wanajeshi wake mjini Niamey.
-
Niger yakubali mpango wa Algeria wa kutatua mzozo wa ndani wa nchi hiyo
Oct 02, 2023 15:12Wizara ya Mambo ya Nje ya Algeria ilimengaza kuwa, Niger imekubaliana na mpango wa Algiers wa kutatua mgogoro wa ndani wa nchi hiyo ya Magharibi mwa Afrika.
-
Raia wa Niger washambulia lori la Ufaransa lililokuwa limebeba maji
Sep 30, 2023 15:46Raia wa Niger wamelishambulia lori la Ufaransa lililokuwa limebeba maji kwa ajili ya wanajeshi wa nchi hiyo walioko nchini humo kinyume cha sheria.
-
Wanajeshi 12 wa Niger wauawa katika shambulizi la wanamgambo
Sep 29, 2023 13:29Waziri wa Ulinzi wa Niger ametangaza habari ya kuuawa wanajeshi wasiopungua 12 wa nchi hiyo katika shambulizi la kundi la wanamgambo kusini magharibi mwa nchi.