-
Tahadhari kuhusu uwepo wa wanajeshi wa Marekani na Ufaransa nchini Nigeria
May 12, 2024 02:35Msemaji wa kundi la viongozi wa kaskazini mwa Nigeria amemuonya rais wa nchi hiyo kuhusu madhara hatari ya kuwepo kwa wanajeshi wa Marekani na Ufaransa nchini Nigeria.
-
Wakulima 30 wauawa katika shambulio la wabeba silaha Nigeria
May 11, 2024 11:46Kwa akali wakulima 30 wameuawa katika shambulizi la genge la wabeba silaha katika jimbo la Zamfara, kaskazini magharibi mwa Nigeria.
-
Mahakama ya Nigeria yatoa hukumu dhidi ya Polisi kwa kushambulia matembezi ya Ashura
May 01, 2024 10:53Mahakama Kuu ya Shirikisho ya Nigeria katika Jimbo la Kaduna imetoa hukumu dhidi ya Polisi ya nchi hiyo kwa kushambulia waumini katika matembezi ya amani ya Siku ya Ashura yaliyofanyika katika mji wa Zaria.
-
Mvua kali zabomoa ukuta mbovu wa jela Nigeria na kuwezesha wafungwa zaidi ya 100 kutoroka
Apr 26, 2024 10:49Zaidi ya wafungwa 100 wametoroka jela baada ya mvua kali kubomoa ukuta mbovu wa jela hiyo iliyoko karibu na mji mkuu wa Nigeria Abuja.
-
Wazazi Nigeria waungana na watoto wao waliokuwa wametekwa nyara
Mar 28, 2024 07:02Wazazi wa watoto wa shule zaidi ya 130 nchini Nigeria wamekombolewa kutoka mikononi mwa watekaji nyara baada ya kushikiliwa mateka kwa zaidi ya wiki mbili. Wazazi hao jana waliungana na watoto wao; ambapo walishindwa kuzuia machozi ya furaha katika tukio hilo walilokuwa wakilisubiri kwa muda mrefu.
-
17 wapoteza maisha wakigombania chakula cha msaada Nigeria
Mar 25, 2024 11:22Kwa akali watu 17 wameaga dunia katika mkanyagano wa kugombania chakula cha msaada nchini Nigeria.
-
Zaidi ya wanafunzi 200 waliokuwa wametekwa nyara Nigeria wameachiwa huru
Mar 24, 2024 07:03Zaidi ya wanafunzi 200 pamoja na wafanyakazi waliokuwa wametekwa nyara na watu wenye silaha katika skuli moja kaskazini mwa Nigeria mapema mwezi huu wameachiliwa. Hayo ni kwa mujibu wa ofisi ya gavana wa jimbo la Kaduna lililoko kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.
-
Wahalifu wenye silaha wawateka nyara watu zaidi ya 100 huko Nigeria
Mar 19, 2024 11:49Wahalifu wenye silaha wamewateka nyara zaidi ya watu 100 katika mashambulizi mawili mapya kaskazini magharibi mwa Nigeria, ikiwa zimepita wiki kadhaa baada ya wanafunzi 250 wa shule kutekwa nyara nchini humo.
-
Rais wa Nigeria aliagiza jeshi liwasake walioua askari 16 Delta
Mar 19, 2024 02:38Rais wa Nigeria Bola Ahmed Tinubu ameliamrisha jeshi la nchi hiyo kuwasaka na kuwafikisha katika vyombo vya dola wahusika wa mauaji ya wanajeshi 16 wa nchi hiyo katika jimbo la kusini la Delta.
-
Visa zaidi vya utekaji nyara vyahofiwa Nigeria
Mar 12, 2024 02:15Serikali ya Shirikisho ya Nigeria imeorodhesha shule kadhaa katika majimbo 14 nchini humo kuwa ni maeneo yaliyoko hatarini kushambuliwa na majambazi na wahalifu wenye silaha.