-
Jeshi la Nigeria laendelea na oparesheni ya kuwaangamiza Boko Haram
Mar 07, 2016 12:48Jeshi la Nigeria limesema kuwa linaendelea na oparesheni ya kuwaangamiza wanamgambo wa Boko Haram katika maficho yao.
-
Buhari: Kutegemea mafuta kumevuruga uchumi wa Nigeria
Mar 06, 2016 03:42Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amesema kutegemea kupita kiasi pato la mafuta ya petroli ni chanzo kikuu cha matatizo ya kiuchumi nchini humo.
-
Wanaharakati: Rais Buhari anakiuka haki zote za Mashia Nigeria
Mar 01, 2016 04:31Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imesema serikali ya nchi hiyo imekiuka haki zote za msingi za Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo.
-
Nigeria yaitaka Saudi Arabia itoe ripoti ya mwisho kuhusu Maafa ya Mina
Feb 28, 2016 23:07Rais wa Nigeria ameitaka Saudi Arabia iwasilishe ripoti ya mwisho kuhusu chunguzi zilizofanywa kuhusiana na Maafa ya Mina.
-
Wanachama 100 wa Boko Haram waangamizwa Nigeria
Feb 28, 2016 04:30Operesheni ya pamoja ya majeshi ya Nigeria na Cameroon imefanikiwa kuangamiza wanachama 100 wa kundi la kigaidi na kitafkiri la Boko Haram , kaskazini mashariki wa Nigeria.
-
Kuanza oparesheni ya kuwaaangamiza wanamgambo wa Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria
Feb 27, 2016 09:32Jeshi la Nigeria limesema kuwa tayari limeanza oparesheni ya kuwaangamiza wanamgambo wa kundi la kigaidi la Boko Haram katika majimbo ya kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Jeshi la Nigeria laanzisha operesheni kali dhidi ya Boko Haram
Feb 26, 2016 04:18Jeshi la Nigeria limeanzisha operesheni kali dhidi ya wanamgambo wa kundi la kigaidi la Boko Haram, ambayo ina lengo la kuwasambaratisha wanachama wa kundi hilo.
-
Boko Haram yasababisha maelfu ya watoto wa Nigeria kuwa wakimbizi
Feb 23, 2016 04:51Zaidi ya watoto 6,500 wako katika hatari ya kupoteza maisha yao kutokana na baa la njaa linalowakabili, katika kambi za wakimbizi wa ndani nchini Nigeria.
-
Mwanaharakati: Saudia ilihusika kukandamizwa Waislamu Nigeria
Feb 20, 2016 12:09Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imeukosoa utawala wa Aal-Saud kwa kutumia mamilioni ya dola kuishinikiza serikali ya Nigeria kuwakandamiza wafuasi wa harakati hiyo.
-
Waislamu wa Nigeria wahofia usalama wa Sheikh Zakzaky
Feb 19, 2016 09:58Harun al-Binawi mjumbe wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria, amefafanua mazingira na hali mbaya anayoipitia Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi mkuu wa harakati hiyo.