-
Wanigeria waandamana tena kushinikiza kuachiwa huru Sheikh Zakzaky
Nov 10, 2020 03:55Wafuasi wa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria wameandamana katika mji mkuu Abuja wakilalamikia kuendelea kushikiliwa kizuizini kiongozi wao pamoja na mkewe.
-
Wanachama 75 wa Boko Haram waangamizwa na jeshi la Nigeria
Nov 04, 2020 08:17Jeshi la Nigeria limetangaza habari ya kuuawa makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi la Boko Haram huko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Umoja wa Afrika wataka Nigeria ichukue hatua za kusitisha ghasia, mauaji
Oct 27, 2020 08:04Umoja wa Afrika umeihimiza serikali ya Nigeria ichukue mara moja hatua za amani za mazungumzo ili kupunguza mvutano unaozidi kupamba moto nchini humo, kufanya uchunguzi kuhusu mauaji na kuwafikisha wahusika mahakamani.
-
Raia 51, maafisa usalama 18 wameuawa katika maandamano ya ghasia Nigeria
Oct 24, 2020 04:11Makumi ya watu wameuawa katika machafuko na maandamano yanayoendelea kushuhudiwa katika maeneo mbalimbali ya Nigeria.
-
Buhari ataka kukomeshwa maandamano, machafuko yaendelea Abuja
Oct 23, 2020 06:58Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria ametoa wito wa kukomesha machafuko na maandamano yanayoendelea katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo kufuatia mauaji ya raia waliokuwa wakiandamana kupinga ukatili wa polisi.
-
Umoja wa Afrika walaani mauaji ya raia nchini Nigeria
Oct 22, 2020 10:18Nchi ya Nigeria inaendelea kukumbwa na hali ya machafuko baada ya askari usalama kuwatawanya kikatili vijana walioandamana dhidi ya ghasia za polisi, na kuua watu kadhaa. hayo yametangaza na shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International.
-
AU yatakiwa iingilie kati mgogoro wa Nigeria, ECOWAS yatoa neno
Oct 22, 2020 04:15Asasi za kiraia na mashirika ya kutetea haki za binadamu yametoa mwito kwa Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini kama Mwenyekiti wa mzunguko wa Umoja wa Afrika, kuingilia kati mgogoro na machafuko ya umwagaji damu yanayoendelea kushuhudiwa nchini Nigeria.
-
Sheria ya kutotoka nje Nigeria yatangazwa baada ya ghasia na kuuawa waandamanaji
Oct 21, 2020 09:24Sheria ya kutotoka nje imetangazwa katika mji wa Lagos nchini Nigeria huku ghasia zikienea nchini humo kupinga ukatili wa polisi.
-
Watu 10 wauawa Nigeria katika maandamano ya kulaani ukatili wa polisi
Oct 14, 2020 04:21Watu wasiopungua 10 wameuawa Nigeria katika maandamano ya kulaani ukatili na ukandamizi unaotekelezwa na polisi ya nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Hali ya kiafya ya Sheikh Ibrahim Zakzaky na mkewe yazidi kuzorota
Oct 12, 2020 09:59Binti wa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema kuwa, hali ya kiafya ya baba na mama yake ni mbaya mno kutokana na kiongozi huyo kuzuiawa kupatiwa matibabi.