-
Makumi wauawa katika shambulio kaskazini mwa Nigeria
Apr 06, 2019 03:21Kwa akali watu 50 wameuawa katika shambulio la wavamizi waliobeba silaha kaskazini magharibi mwa Nigeria.
-
Waislamu wa Nigeria waandamana tena kushinikiza Sheikh Zakzaky aachiliwe huru
Mar 21, 2019 11:30Kwa mara nyingine tena, wananchi Waislamu wa Nigeria wamefanya maandamano ya kutaka kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky aachiliwe huru.
-
9 wauawa katika shambulio la silaha Nigeria
Mar 17, 2019 03:39Vyombo rasmi nchini Nigeria vimetangaza kuwa watu 9 wameuawa katika shambulio jipya la watu waliokuwa na silaha katika kijiji kimoja kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Walioaga dunia baada ya jengo kuporomoka Nigeria wafika 20
Mar 15, 2019 12:02Kamishna wa Afya katika jimbo la Lagos nchini Nigeria amesema idadi ya watu waliopoteza maisha baada jengo kuporomoka imeongezeka na kufikia watu 20.
-
Magaidi 50 wa kundi la Boko Haram waangamizwa na majeshi ya nchi nne
Mar 11, 2019 04:27Jeshi la Nigeria limetangaza kwamba magaidi 50 wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram wameuawa katika operesheni za kikosi cha pamoja cha Nigeria, Chad, Cameroon na Niger.
-
Mamia ya watu watiwa nguvuni Nigeria kwa uhalifu unaohusiana na uchaguzi
Mar 06, 2019 03:55Polisi ya Nigeria imetangaza kuwa, imewatia nguvuni zaidi ya watu 300 kwa tuhuma za kufanya uhalifu unaohusiana na uchaguzi wa mkuu uliofanyika mwezi uliopita.
-
Kushinda tena Urais "Muhammadu Buhari" na kibarua kigumu anachokabiliwa nacho
Feb 27, 2019 22:59Tume ya Uchaguzi ya Nigeria jana ilitangaza rasmi kuwa Muhammadu Buhari ameibuka mshindi baada ya kumbwaga mshindani wake mkuu Atiku Abubakar na hivyo kupata fursa ya kuiongoza nchi hiyo kwa muhula wa pili.
-
Rais Buhari wa Nigeria kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais
Feb 27, 2019 01:18Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amehifadhi kiti chake baada ya kuibuka mshindi wa uchaguzi wa urais wa Jumamosi iliyopita na kumbwaga mpinzani wake karibu kwa karibu kura milioni 4.
-
Uchaguzi Nigeria: Buhari aongoza, upinzani wapinga matokeo
Feb 26, 2019 04:24Tume ya Uchaguzi Nigeria imetangaza kuwa Rais Muhammad Buhari anaongoza kwa kura 280,000 katika matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais uliofanyika Jumamosi iliyopita.
-
Waangalizi: Makumi ya watu wameuawa Nigeria katika machafuko yanayohusiana na uchaguzi
Feb 25, 2019 12:21Makumi ya watu wameuawa katika wimbi la machafuko yanayohusiana na uchaguzi wa rais na bunge nchini Nigeria, wakati nchi hiyo inasubiri kutangazwa matokeo ya uchaguzi huo.