-
Raia 21 wa Nigeria waachiliwa huru kutoka mikononi mwa kundi la Boko Haram
Sep 08, 2018 02:35Jeshi la Nigeria limetangaza habari ya kuachiliwa huru raia 21 kutoka mikononi mwa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Jeshi la Nigeria laua magaidi 14 wa kundi la Boko Haram
Sep 07, 2018 09:51Magaidi 14 wa kundi la Boko Haram wameuawa kwenye operesheni iliyofanywa na jeshi la Nigeria jana katika kijiji cha Pulka, wilaya ya Gwoza, mkoani Borno kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Askari 30 wauawa na makumi wajeruhiwa katika shambulio la Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria
Sep 01, 2018 21:53Askari 30 wa Nigeria wameuliwa katika shambulio lililofanywa na magaidi wa kundi la Boko Haram dhidi ya kambi moja ya jeshi kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Amnesty International yalalamikia kutiwa nguvuni Waislamu nchini Nigeria
Aug 30, 2018 23:26Shirika la haki za binadamu la Amnesty International limelaani hatua ya serikali ya Abuja ya kuwaweka kizuizini kinyume sheria Waislamu hasa wanachama wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.
-
Umoja wa Mataifa walaani shambulio la Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria
Aug 21, 2018 22:20Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani shambulio la kigaidi la kundi la Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria ambalo lilipelekea kuuawa makumi ya raia wasio na hatia.
-
Nigeria yawarahisishia raia wake kurejea nyumbani kwa hiari kutokea Libya
Aug 21, 2018 03:10Serikali ya Nigeria kwa kushirikiana na Shirika la Kimataifa la Wahajiri (IOM) imeamua kuwarahishia njia za kurejea nyumbani kwa hiari raia wake waliokwama nchini Libya.
-
Watu 19 wauawa katika shambulio la wanamgambo kaskazini mashariki mwa Nigeria
Aug 20, 2018 03:19Duru za habari zimeripoti kuwa watu 19 wameuliwa katika shambulio lililofanywa na wanamgambo katika kijiji kimoja kilichoko kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Watoto 33 wafariki katika kambi za wakimbizi wa ndani nchini Nigeria
Aug 18, 2018 03:04Watoto wasiopungua 33 wamepoteza maisha katika kipindi cha wiki mbili kati ya tarehe 2 na 15 Agosti katika kambi moja ya wakimbizi wa ndani ya nchi (IDP) kaskazini mwa Nigeria.
-
Kaimu Rais wa Nigeria alaani kuzuiwa wabunge kuingia bungeni
Aug 08, 2018 04:38Hatua ya kuzingirwa Bunge la Taifa la Nigeria jana Jumanne kulikofanywa na askari usalama wa nchi hiyo ambao waliwazuia wabunge kuingia bungeni kwa muda wa karibu saa nzima ilifanywa bila ya ofisi ya Rais kuwa na taarifa. Hayo yamesemwa na Kaimu Rais wa Nigeria ambaye amemfuta kazi mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa.
-
Mahakama ya Kaduna kusikiliza kesi ya Sheikh Zakzaky Oktoba 4
Aug 03, 2018 23:52Mahakama Kuu ya jimbo la Kaduna nchini Nigeria imetangaza kuwa, itasikiliza ombi la kuachiliwa huru kwa dhamana Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kkiislamu ya Nigeria.