Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • UN yalaani mashambulizi ya Boko Haram yaliyowalenga Waislamu nchini Nigeria

    UN yalaani mashambulizi ya Boko Haram yaliyowalenga Waislamu nchini Nigeria

    Jun 18, 2018 23:23

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani mashambulizi ya genge la kigaidi la Boko Haram yaliyowalenga Waislamu waliokuwa wakisherehekea sikukuu ya Idul Fitr kaskazini mashariki mwa Nigeria

  • Waislamu 31 waliokuwa wanasherehekea Idi wauliwa na Boko Haram nchini Nigeria

    Waislamu 31 waliokuwa wanasherehekea Idi wauliwa na Boko Haram nchini Nigeria

    Jun 17, 2018 10:45

    Watu wasiopungua 31 wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika miripuko ya mabomu iliyotokea usiku wa kuamkia leo kaskazini mashariki mwa Nigeria.

  • Seneta nchini Nigeria atupwa jela miaka 14 kwa kuhusika na ubadhirifu wa fedha za serikali

    Seneta nchini Nigeria atupwa jela miaka 14 kwa kuhusika na ubadhirifu wa fedha za serikali

    Jun 13, 2018 11:05

    Seneta wa zamani wa Jimbo la Plateau Magharibi mwa Nigeria, Joshua Dariye, amehukumiwa kifungo cha miaka 14 jela baada ya kupatikana na hatia ya ubadhirifu wa kiasi cha Naira bilioni 1.162 alipokuwa gavana wa jimbo hilo.

  • Magendo ya silaha na ukatili vyashamiri Nigeria

    Magendo ya silaha na ukatili vyashamiri Nigeria

    Jun 09, 2018 12:28

    Ongezeko la uuzaji wa silaha kinyume cha sheria nchini Nigeria umezidisha hali mbaya ya kiusalama, ukatili na machafuko katika nchi hiyo yenye idadi kubwa zaidi ya watu barani Afrika.

  • Jeshi la Nigeria lawaokoa watu 148 waliokuwa wakishikiliwa mateka na Boko Haram

    Jeshi la Nigeria lawaokoa watu 148 waliokuwa wakishikiliwa mateka na Boko Haram

    Jun 05, 2018 02:37

    Jeshi la Nigeria limetangaza kuwakomboa watu 148, wakiwemo wanawake 58 na watoto 75, ambao walikuwa wametekwa nyara na kundi la magaidi wakufurishaji la Boko Haram.

  • Watu 13 wauawa katika mashambulizi ya makundi ya wabeba silaha katikati mwa Nigeria

    Watu 13 wauawa katika mashambulizi ya makundi ya wabeba silaha katikati mwa Nigeria

    Jun 04, 2018 01:36

    Viongozi wa serikali ya Nigeria wametangaza habari ya kuuawa watu 13 katika mashambulizi ya makundi ya wabeba silaha katikati mwa nchi.

  • Watu 7 wauawa katika shambulizi la kigaidi karibu na msikiti Nigeria

    Watu 7 wauawa katika shambulizi la kigaidi karibu na msikiti Nigeria

    May 28, 2018 10:11

    Kwa akali watu saba wameuawa katika shambulizi la kigaidi lililotokea karibu na msikiti mmoja kaskazini mashariki mwa Nigeria.

  • Sheikh Zakzaky hajulikani alipo, njia za mawasiliano zakatwa

    Sheikh Zakzaky hajulikani alipo, njia za mawasiliano zakatwa

    May 20, 2018 02:51

    Harakati ya Kiislamu Nigeria imeeleza juu ya wasi wasi ilionao kuhusu uwepo wa kiongozi wao, Sheikh Ibrahim Zakzaky, na kubainisha kwamba njia ambazo zilikuwa zikitumiwa na familia na watu wa karibu naye kwa ajili ya mawasiliano zimekatwa.

  • Kufikishwa mahakamani Sheikh Ibrahim Zakzaky na kufanyika kikao cha kimaonyesha

    Kufikishwa mahakamani Sheikh Ibrahim Zakzaky na kufanyika kikao cha kimaonyesha

    May 16, 2018 08:10

    Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) jana Jumanne alifikishwa mahakama kuu ya jimbo la Kaduna.

  • Sheikh Zakzaky apandishiwa kizimbani jimboni Kaduna

    Sheikh Zakzaky apandishiwa kizimbani jimboni Kaduna

    May 16, 2018 03:04

    Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) Sheikh Ibrahim Zakzaky pamoja na mkewe wamefikishwa katika Mahakama Kuu ya jimbo la Kaduna.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS