-
Iran na Oman zazindua kamati ya pamoja ya Hormuz kujadili usimamizi wa baadaye wa lango hilo
Jun 29, 2026 12:27Iran na Oman zimefanya mkutano wa kwanza wa kamati mpya ya pamoja ya Hormuz, unaojadili usimamizi wa baadaye wa Lango-Bahari la Hormuz.
-
Spika Qalibaf akutana na Sultani wa Oman kufuatia mazungumzo ya Uswisi
Jun 24, 2026 03:40Spika wa Bunge la Iran ambaye pia ni mkuu wa timu ya mazungumzo na Marekani, Mohammad Baqer Qalibaf, amekutana na Sultani Haitham bin Tariq wa Oman jijini Muscat, ambapo wamejadili uhusiano wa nchi mbili na matukio ya hivi karibuni kuhusu Mkataba wa Maelewano (MoU) kati ya Tehran na Washington.
-
Iran na Oman zajadili utaratibu mpya wa kusimamia Lango-Bahari la Hormuz
Jun 23, 2026 10:49Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf na Waziri wa Mambo ya Nje Abbas Araghchi wamekutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman, Sayyid Badr bin Hamad al-Busaidi, kujadili utaratibu mpya wa kusimamia Lango-Bahari la kimkakati la Hormuz.
-
Jumamosi, 20 Disemba, 2025
Dec 19, 2025 22:55Leo ni Jumamosi 29 Mfunguo Tisa Jamadithani 1447 Hijria mwafaka na 20 Disemba 2025 Miladia.
-
Jumapili, Septemba 28, 2025
Sep 27, 2025 22:54Leo ni Jumapili tarehe 5 Mfunguo Saba Rabiu Thani 1447 Hiijria mwafaka na tarehe 28 Septemba 2025 Miladia.
-
Oman yalaani uamuzi wa Israel wa kuikalia kwa mabavu Gaza
Aug 09, 2025 23:06Wizara ya Mambo ya Nje ya Oman imelaani uamuzi wa Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa kuukalia kwa mabavu Ukanda wa Gaza.
-
Iran na Oman zatiliana saini hati 18 za mikataba ya ushirikiano
May 27, 2025 23:58Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Oman zimetiliana saini hati 18 za mikataba ya ushirikiano katika nyanja mbalimbali.
-
Kiongozi wa Mapinduzi: Hatufurutu mpaka katika kuyatazama mazungumzo ya Oman kwa jicho zuri au baya
Apr 15, 2025 09:40Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, ufuatiliaji ndicho kiungo kinachokosekana katika kufanikisha malengo ya nchi na akasisitiza kuwa ajenda ya pamoja ya mihimili mitatu ya dola ni kufanya jitihada za kufanikisha kaulimbiu ya mwaka huu.
-
Maelfu ya Waomani na Walibya waandamana kuunga mkono Palestina + Video
Apr 12, 2025 04:07Maelfu ya wananchi wa Oman wamefanya maandamano kulaani jinai za utawala wa Kizayuni na kuliunga mkono taifa madhlumu la Palestina.
-
Kushiriki Iran katika "Mkutano wa Nchi za Bahari ya Hindi" kuna umuhimu gani?
Feb 18, 2025 23:05Duru ya Nane ya Mkutano wa Nchi za Bahari ya Hindi chini ya kauli mbiu "Kuelekea Upeo Mpya wa Ushirikiano wa Baharini" imefanyika tarehe 16 na 17 mwezi huu wa Februari huko Oman kwa kuhudhuriwa na viongozi wa ngazi ya juu wa nchi 20 wanachama. Oman, India na Singapore kwa pamoja zilikuwa wenyeji wa kongamano hilo.