-
Ijumaa, tarehe 20 Disemba, 2024
Dec 20, 2024 02:43Leo ni Ijumaa tarehe 18 Jumadithani 1446 Hijria inayosadifiana na tarehe 20 Disemba mwaka 2024.
-
Mufti wa Oman apongeza shambulio dhidi ya makazi ya Netanyahu
Oct 21, 2024 06:35Mufti Mkuu wa utawala wa Kisultani wa Oman amepongeza shambulio la wanamuqawama lililolenga makazi ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu.
-
Iran na Oman zasisitiza ulazima wa kusitishwa mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza na Lebanon
Oct 14, 2024 11:37Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Oman wamebadilishana mawazo kuhusu hali ya kutisha katika eneo na kutaka kusitishwa mara moja mauaji ya halaiki na uchokozi wa utawala ghasibu wa Israel katika Ukanda wa Gaza na Lebanon.
-
Iran na Oman zafanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi + Video
Oct 11, 2024 02:38Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na jirani yake Oman zimefanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi yaliyoshirikisha Jeshi la Majini la Iran, Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran SEPAH na Jeshi la Majini la Oman.
-
Oman: Badala ya kulaani hatua ya Iran, komesheni Israel kuikalia kwa mabavu ardhi ya Palestina
Oct 05, 2024 03:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman amesema, badala ya kulaani hatua ya Iran, ukomeshwe ukaliaji ardhi ya Palestiina kwa mabavu unaofanywa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Mufti wa Oman: Nasrullah alikuwa mwiba kwenye koo ya Wazayuni
Sep 30, 2024 02:26Mufti Mkuu wa Oman amesema Sayyid Hassan Nasrullah, kiongozi wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon aliyeuawa shahidi karibuni na Israel alikuwa mwiba kwenye koo ya Wazayuni kwa zaidi ya miongo mitatu.
-
Jumamosi, 28 Septemba, 2024
Sep 28, 2024 02:15Leo ni Jumamosi 24 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1446 Hiijria mwafaka na 28 Septemba 2024 Miladia.
-
Naibu Waziri wa Kazi wa Oman: Iran ni mahala salama kwa wawekezaji wa Oman
Sep 09, 2024 06:52Naibu Waziri wa Kazi wa Oman amesisitiza kuwa Iran ni mahali salama kwa wawekezaji wa Oman kutokana na usalama na miundombinu yake mwafaka.
-
Mufti wa Oman: Kuiunga mkono Yemen ni wajibu wa kila Muislamu
Jul 21, 2024 06:49Mufti Mkuu wa Oman amelaani vikali hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuushambulia mji wa magharibi mwa Yemen wa al-Hudaydah, huku akiwataka Waislamu kote ulimwenguni kuliunga mkono na kulisaidia kwa hali na mali taifa hilo la Kiarabu linalosumbuliwa na ukata na umaskini mkubwa.
-
Daesh: Tumehusika na shambulio la siku ya Ashura lililoua 6 Oman
Jul 17, 2024 13:17Kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) limekiri kuhusika na shambulizi la kigaidi lililolenga Waislamu wa madhehebu ya Shia waliokuwa wamekusanyika katika msikiti mmoja nchini Oman, kwa ajili ya maombolezo ya Ashura ya kukumbuka siku ya kuuliwa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW), Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (a.s).