-
Uhusiano wa kibiashara wa Iran na Oman wazidi kuimarika
Jul 05, 2017 03:43Naibu wa Mkuu wa Shirika la Ustawi wa Kibiashara la Iran anayehusika na masuala ya Kiarabu na Kiafrika amesema kuwa, uhusiano wa kibiashara baina ya Tehran na Muscat Oman umeimarika sana katika kipindi cha miaka miwili iliyopita.
-
Kuimarishwa uhusiano wa Iran, Oman, Kuwait na Qatar nje ya duara la matakwa ya Saudia
May 30, 2017 00:01Baada ya kupita takribani siku kumi tangu kilipofanyika kikao cha kipropaganda cha Waarabu na Marekani mjini Riyadh, Saudi Arabia, kwa lengo la kuasisi muungano bandia dhidi ya Iran, Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman Yusuf Bin Alawi amesema uhusiano wa Muscat na Tehran umejengeka kwa msingi wa ukweli na urafiki na kusisitiza kuwa baadhi ya matukio ya kieneo hayawezi kuathiri uhusiano wa Iran na Oman.
-
Iran na Oman zaanza maneva ya uokoaji katika lango la Hormuz
Apr 10, 2017 09:11Vikosi vya majini vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Oman vimeanza maneva ya pamoja ya utafutaji na uokoaji katika maeneo ya mashariki ya Lango la Hormuz na katika maeneo ya kaskazini mwa Bahari ya Hindi.
-
Uhusiano wa Iran na Oman wazidi kuimarika, Rais Rouhani atembelea Muscat
Feb 15, 2017 12:29Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kuna ulazima wa kuimarishwa ushirikiano wa pande zote baina ya nchi za eneo hili, kama ambavyo kuna wajibu pia wa kupewa kipaumbele suala la kusimamisha vita na kusaidiwa wananchi wa Yemen.
-
Rouhani: Iran inataka kuboresha uhusiano na eneo zima
Feb 15, 2017 04:34Rais wa Iran amesema kuwa nchi hii inataka kuboresha uhusiano katika eneo zima la Ghuba ya Uajemi na kwamba lengo la mwisho la Tehran ni kuona amani na uthabiti zaidi inakuwepo katika eneo hili na nchi zote zinastawi.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman aikosoa Saudia kwa kushupalia vita
Feb 15, 2017 00:03Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman Yusuf bin Alawi ameikosoa Saudi Arabia kutokana na kushupalia utumiaji njia za kijeshi badala ya diplomasia kwa ajili ya kutatua migogoro ya eneo la Mashariki ya Kati.
-
Jumanne 20 Disemba, 2016
Dec 19, 2016 03:57Leo ni Jumanne tarehe 20 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1438 Hijria sawa na tarehe 20 Disemba 2016.
-
Oman: Harakati ya Kiislamu ya Answarullah nchini Yemen sio ya kigaidi
Nov 29, 2016 09:53Serikali ya Oman imetangaza upinzani wake dhidi ya pendekezo la Saudi Arabia la kuiweka Harakati ya Kiislamu na ya wananchi ya Answarullah nchini Yemen katika orodha ya pamoja ya wanachama wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi kuhusiana na ugaidi.
-
Kuzidi kuimarika uhusiano wa Iran na Oman
Sep 30, 2016 14:31Baadhi ya picha za ziara ya ya ujumbe wa mahakama ya Oman ulipotembelea na kuonana na mkuu wa Chombo cha Mahakama cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Tehran.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman aonana na Rais Rouhani
Feb 21, 2016 12:32Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kwamba, kuna wajibu wa kuimarishwa ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara wa Iran na Oman na kuufikisha kwenye daraja ya uhusiano wa kisiasa wa pande hizo mbili.