-
Jeshi la Iran lazima shambulio la kigaidi katika mpaka na Pakistan
Apr 17, 2018 09:43Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran SEPAH limefanikiwa kuzima jaribio la shambulizi la kigaidi karibu na mpaka wa nchi hii na Pakistan, ambapo magaidi watatu wameangamizwa.
-
Wabunge Pakistan walalamikia kunyongwa raia 66 wa nchi hiyo huko Saudia
Apr 12, 2018 23:35Wawakilishi wa bunge la seneti nchini Pakistan wamelaani hatua ya kunyongwa raia 66 wa nchi hiyio katika kipindi cha miaka mitano pekee iliyopita huko nchini Saudi Arabia.
-
Jumatano, 4 Aprili, 2018
Apr 03, 2018 22:03Leo ni Jumatano tarehe 17 Rajab 1439 Hijria inayosadifiana na 4 Aprili, 2018.
-
Watu 20 wauawa katika mapigano ya jeshi la India na wanaotaka kujitenga Kashmir
Apr 02, 2018 02:53Watu wasiopungua 20 wamepoteza maisha katika eneo la Kashmir linalodhibitiwa na India kufuatia mapigano makali baina ya wanajeshi wa India na wanamgambo wanaopigania kujitenga eneo hilo linalozozaniwa la Himalaya.
-
Pakistan yaionya Marekani kwa kuyawekea vikwazo mashirika yake saba ya nyuklia
Mar 27, 2018 22:08Serikali ya Pakistan imetoa radiamali ya onyo kwa Marekani kufuatia hatua ya Washington ya kuyawekea vikwazo mashirika saba ya nchi hiyo kwa kujihusisha na shughuli za nyuklia.
-
Ijumaa, tarehe 23 Machi, 2018
Mar 22, 2018 21:47Leo ni Ijumaa tarehe 5 Rajab 139 Hijria sawa na Machi 23, 2018.
-
Mwanaharakati Pakistan: Dini ya Uislamu haihusiki hata kidogo katika kumwaga damu
Mar 15, 2018 11:03Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kisiasa na Kidini nchini Pakistan, amesema kuwa Uislamu wa kweli hauhusiki kwa namna yoyote na umwagaji damu unaofanywa na makundi ya kigaidi.
-
Aal Saud na jinamizi la ukosefu wa usalama
Feb 22, 2018 23:00Vyombo vya habari ukiwemo mtandao wa Middle East Eye vimefichua kwamba, sababu ya kupelekwa idadi kubwa ya askari wa Pakistan nchini Saudi Arabia ni kulinda kizazi cha na ukoo wa mfalme wa nchi hiyo baada ya mageuzi na mapinduzi baridi yaliyofanyika ndani ya utawala wa kifalme na kuongezeka wasiwasi na hatari inayotishia watawala wa sasa.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan: Hatuhitaji msaada wa fedha wa Marekani
Jan 25, 2018 10:12Katika radiamali kwa hatua ya Marekani ya kusitisha msaada wake wa kifedha kwa Pakistan, Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan amesema, Islamabad haina haja na msaada huo wa Washington.
-
Maulamaa wa Pakistan watoa fatua ya kuharamisha kujiripua
Jan 17, 2018 00:47Mamia ya maulamaa wa Kiislamu nchini Pakistan wametoa fatua ya kuharamisha mashambulizi ya kujitoa muhanga, katika hali ambayo nchi hiyo inaendelea kukabiliwa na hujuma za magenge ya kigaidi.