-
UNICEF: Mashambulio ya Israel yanaua kila siku watoto 28 Wapalestina Ghaza
Jul 18, 2025 01:36Mkurugenzi Mtendaji wa UNICEF, Catherine Russell, ameweka hadharani takwimu za kutisha kuhusu athari za mashambulizi ya kinyama yanayoendelea kufanywa na utawala wa kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza.
-
Rais Gustavo Petro: Colombia lazima ivunje uhusiano wake na NATO
Jul 17, 2025 10:32Rais Gustavo Petro wa Colombia amesema nchi yake inapaswa kukata uhusiano wake na NATO kwa kuwa viongozi wa shirika hilo la kijeshi la Magharibi wanaunga mkono "mauaji ya halaiki" ya Wapalestina.
-
Mataifa yaliyokutana Bogota, yatangaza hatua 6 ‘madhubuti’ yatazochukua dhidi ya Israel
Jul 17, 2025 07:50Muungano wa mataifa mbalimbali duniani yaliyokutana Bogota, mji mkuu wa Colombia umekubaliana kutekeleza hatua sita za kukomesha mashambulizi ya utawala wa kizayuni wa Israel dhidi ya Ghaza na kuzuia ukiukaji wa sheria za kimataifa unaofanywa na utawala huo haramu.
-
Amnesty: EU kutositisha ushirikiano na Israel ni usaliti kwa taifa la Palestina
Jul 16, 2025 06:10Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema kushindwa kwa Umoja wa Ulaya kusimamisha makubaliano yake ya ushirikiano na utawala wa Israel ni usaliti wa kikatili kwa taifa la Palestina.
-
Kwa nini Wapalestina wengi wanaunga mkono misimamo ya makundi ya muqawama katika mazungumzo ya Doha?
Jul 15, 2025 23:29Matokeo ya uchunguzi wa Kituo cha Uchunguzi na Utafiti wa Palestina, kwa ushirikiano na Kituo cha Kimataifa cha Sanaa, yanaonyesha kuidhinishwa na wananchi wa Palestina matakwa ya muqawama wa Palestina katika mazungumzo ya kusimamisha vita na kubadilishana wafungwa yanayoendelea huko Doha, mji mkuu wa Qatar.
-
Jeshi la Israel limeiba punda wa Ghaza na kuwasafirisha kuwapeleka Ufaransa
Jul 15, 2025 12:14Jeshi la utawala kizayuni wa Israel limeripotiwa kuiba mamia ya punda kutoka Ukanda wa Ghaza uliowekewa mzingiro, kuwavusha kimagendo hadi Israel, na kisha kuwasafirisha kuelekea Ufaransa ili kuzuia wasitumike katika ujenzi upya wa Ghaza.
-
Hamas: Netanyahu hana nia ya kufikia makubaliano ya usitishaji vita
Jul 15, 2025 01:22Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imesema Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu hana azma kabisa ya kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano, ili kuhitimisha kampeni ya mauaji ya halaiki inayoendelea katika Ukanda wa Gaza uliozingirwa.
-
Ripoti: Israel inatumia droni za kiraia kuwaua watoto wa Gaza
Jul 14, 2025 10:09Jeshi la Israel limekiri kutumia ndege zisizo na rubani za kiraia kushambulia maeneo ya Gaza, na kuua raia wa Kipalestina, aghalabu yao wakiwa watoto wadogo.
-
Wananchi wa Argentina waandamana kuliunga mkono taifa la Palestina
Jul 14, 2025 09:51Maandamano makubwa yamefanyika katika mji mkuu wa Argentina, Buenos Aires, huku maelfu ya wananchi wakikusanyika katika baadhi ya barabara kuu na nembo na vituo muhimu vya jiji hilo, kutangaza himaya na uungaji mkono wao kwa taifa madhulumu la Palestina.
-
Je, ushirikiano wa serikali za Magharibi na Wazayuni katika mauaji ya kimbari ya Wapalestina una kiwango na mpaka?
Jul 14, 2025 08:16Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetangaza katika indhari liliyotoa hivi karibuni kwamba hali ya huduma za afya katika Ukanda wa Ghaza imefikia kiwango cha maafa.