-
Hamas na Mamlaka ya Ndani: Israel ilitaka kumuua Waziri Mkuu wa Palestina
Mar 13, 2018 23:15Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) na ofisi ya Waziri Mkuu wa Serikali ya Ndani ya Palestina wameutuhumu utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ndio uliopanga shambuliizi lililolenga msafara wa Waziri huyo Mkuu, Rami Hamdallah akiwa safarini katika Ukanda wa Gaza.
-
Jumamosi, 10 Machi, 2018
Mar 09, 2018 21:52Leo ni Jumamosi tarehe 21 Mfunguo Tisa Jamadi Thani 1439 Hijria mwafaka na tarehe 10 Machi 2018 Miladia.
-
Uzembe wa nchi za Kiarabu umeongeza uadui Marekani dhidi ya Quds Tukufu
Mar 09, 2018 03:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Riyadh Al-Maliki amesema, uzembe na upuuzaji wa nchi za Kiarabu kuhusu kadhia ya Palestina katika kipindi cha miongo kadhaa iliyopita ndicho chanzo cha kuongezeka uadui na jeuri za Marekani dhidi ya Quds Tukufu.
-
Rais wa Ufaransa ampinga Trump, ataka Beitul-Muqaddas itambuliwe kuwa mji mkuu wa Palestina
Mar 08, 2018 01:03Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema kuwa, umewadia wakati sasa wa Beitul-Muqaddas kutambuliwa kuwa mji mkuu wa Palestina.
-
Ripoti: Israel imewateka nyara wanawake 15,000 wa Kipalestina
Mar 07, 2018 10:45Huku dunia ikiadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake hapo kesho, ripoti mpya ya shirika moja la Palestina inaonyesha kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umewatia mbaroni wanawake wasiopungua 15,000 wa Kipalestina tokea mwaka 1967 hadi sasa.
-
Hamas: Kuwa na uhusiano wa kawaida na Israel ni dhambi isiyosameheka
Mar 07, 2018 04:03Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema kwamba, kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel ni kinyume na matakwa ya mataifa ya Kiislamu na ni kosa lisilosameheka.
-
Mjumbe wa PLO: Iran ndio watetezi pekee wa Palestina la Lebanon mbele ya Israel
Mar 06, 2018 13:44Abbas Zaki, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) amesema kuwa, Iran ndio nchi pekee inaowatetea raia wa Palestina na Lebanon mbele ya sera za kupenda kujitanua na mabavu ya utawala haramu wa Israel.
-
Iran: Tutaendelea daima kutetea haki za taifa linalodhulumiwa la Palestina
Mar 04, 2018 13:21Msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) anayehusika na masuala ya kimataifa amesema katika mazungumzo yake na balozi wa Palestina hapa mjini Tehran kwamba Jahuri ya Kiislamu ya Iran daima itaendelea kupigania haki zilizoporwa za taifa la Palestina.
-
Hadithi ya Uongofu (107)
Mar 03, 2018 10:23Ni wasaa na wakati mwingine wapenzi wasikilizaji wa kujiunga nami katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Kipindi chetu kilichotangulia kilijadili maudhui ya pupa na papara katika kufanya mambo.
-
Israel imewateka nyara mamia ya watoto wa Kipalestina
Mar 02, 2018 04:18Kituo cha Uchunguzi wa Mateka wa Kipalestina PPS kimetangaza kuwa, mamia ya watoto wa Kipalestina wanashikiliwa katika magereza ya utawala haramu wa Israel huku wakiadhibiwa na kuteswa vibaya.