-
Hamas yateua kiongozi wake mpya Ukanda wa Ghaza
Feb 13, 2017 23:46Harakati ya Mapambano ya Kiislamu Palestina, Hamas, imemteua afisa wa ngazi za juu wa tawi lake la kijeshi kuwa kiongozi wa harakati hiyo Ukanda wa Ghaza.
-
Jumanne, 14 Februari, 2017
Feb 13, 2017 22:59Jumanne 16 Jamadil Awwal 1438 Hijria sawa na 14 Februari 2017.
-
Kongamano la mabunge ya Kiarabu na mustakbali wa Palestina
Feb 12, 2017 08:37Katibu Mkuu wa Jumuiya ya nchi za Kiarabu ameelezea kuwepo migongano ya serikali mpya ya Marekani kuhusu masuala ya ulimwengu wa Kiarabu.
-
Avigdor Lieberman: Wapalestina wote waondoke Israel!
Feb 12, 2017 04:01Waziri wa Vita wa utawala haramu wa Israel amewataka Wapalestina wote waondoke mara moja katika ardhi zao zilizoghusubiwa na utawala huo bandia.
-
Kubadilika msimamo wa Rais wa Marekani kutokana na mashinikizo ya fikra za walimwengu
Feb 11, 2017 03:58Kwa mara ya kwanza tangu aingie madarakani, Rais Donald Trump wa Marekani amekosoa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni unaofanywa na utawala haramu wa Israel katika ardhi za Palestina, japokuwa amejaribu kutumia lugha laini na ya upole katika ukosoaji wake huo.
-
Zuma: Afrika Kusini itaendelea kuwaunga mkono watu wa Palestina
Feb 10, 2017 21:56Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amezihimiza nchi zote duniani ziendelee kuwaunga mkono na kuwatetea watu wanaokandamizwa wa Palestina.
-
Muungano wa Mabunge ya Kiislamu wasisitiza himaya yake kwa taifa la Palestina
Jan 29, 2017 00:23Washiriki wa mkutano wa Muungano wa Mabunge ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC wamesisitiza juu ya udharura wa kuungwa mkono na kutetewa taifa la Palestina mkabala na uvamizi wa utawala haramu wa Israel.
-
Israel yadharau azimio la UN; yaidhinisha ujenzi wa nyumba mpya 566
Jan 22, 2017 12:53Mamlaka za utawala haramu wa Kizayuni wa Israel zimeidhinisha vibali vya ujenzi wa nyumba mpya 566 za walowezi wa Kizayuni katika mji wa Baitul Muqaddas Mashariki unaoukalia kwa mabavu.
-
Quds ni mstari mwekundu kwa Waislamu wote
Jan 20, 2017 00:52Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Chama cha Ukombozi wa Palestina PLO amesisitiza kuwa mji mtakatifu wa Quds ni mstari mwekundu kwa Wapalestina, kwa ulimwengu wa Kiarabu, kwa Waislamu na pia kwa Wakristo ulimwenguni.
-
Mwakilishi wa Hamas Tehran: Iran ni muungaji mkono wetu pekee katika eneo
Jan 16, 2017 23:34Mwakilishi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) hapa Tehran amesema kuwa njia pekee ya kukabiliana na utawala wa Kizayuni ni kuendeleza muqawama na kwamba ishara ya wazi zaidi ya mapambano hayo ni Intifadha.