-
Hamas yapinga fikra ya kupelekwa askari wa kimataifa Ukanda wa Gaza
Feb 28, 2017 12:38Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa harakati hiyo haitakubali harakati yoyote ya kutuma askari wa kimataifa katika eneo la Ukanda wa Gaza.
-
Israel yafanya hujuma mpya za anga Ukanda wa Gaza
Feb 28, 2017 04:22Jeshi la utawala katili wa Israel limefanya mashambulizi mapya ya anga katika Ukanda wa Gaza na kujeruhi watu kadhaa.
-
Radiamali ya Umoja wa Mataifa kwa hatua zilizo dhidi ya ubinadamu za utawala wa Israel
Feb 27, 2017 23:13Umoja wa Mataifa umetangaza katika ripoti yake kwamba, katika kipindi cha majuma mawili yaliyopita, utawala wa Kizayuni wa Israel umebomoa makumi ya nyumba za Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na hivyo kuwaacha Wapalestina wengine wakitangatanga kutokana na kutokuwa na makazi.
-
Bunge la Ufaransa lamtaka Rais Francois Hollande kuitambua rasmi Palestina
Feb 27, 2017 04:09Wabunge wa Ufaransa wamemtaka Rais wa nchi hiyo Francois Hollande aitambue rasmi Palestina.
-
Sayyed Albeity wa Lamu, Kenya: Kuna Matumaini Intifadha ya Palestina Itafaulu
Feb 26, 2017 11:20Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina ulimalizika Jumatano hapa Tehran, ambapo kulikuwa wa washiriki zaidi ya 700 kutoka 80.
-
Balozi wa Palestina Tehran: Tunaishukuru sana Iran kwa kuiunga mkono Paletina
Feb 23, 2017 10:07Balozi wa Palestina mjini Tehran sambamba na kuashiria umuhimu wa mkutano wa 6 wa kimataifa kwa ajili ya kuunga mkono Intifadha ya Palestina uliofanyika hapa mjini Tehran Jumanne na jana Jumatano, ambao uliionyesha dunia dhulma na ukatili wanaofanyiwa Wapalestina, amesema kuwa mkutano huo ulikuwa muhimu sana katika kufichua njama chafu za Marekani na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Palestina.
-
Zimbabwe: Tutaendelea kushirikiana na Iran kutetea Wapalestina
Feb 23, 2017 09:49Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amezikosoa baadhi ya nchi zinazojiita za Kiislamu kwa kushindwa kusimama kidete kutetea maslahi ya Wapalestina.
-
Wanaharakti wanaounga mkono Palestina duniani wakutana Tehran
Feb 23, 2017 03:45Kongamano la kimataifa la Mashirika ya Kiraia na wanaharakati wanaounga mkono mapambano ya ukombozi wa Palestina limeanza leo Tehran ,mji mkuu wa Iran.
-
Ramadan Shalah: Utawala wa Kizayuni unakabiliwa na matatizo mengi
Feb 22, 2017 00:37Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihadul-Islamu ya Palestina amesema kuwa, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel haupo katika hali nzuri na unakabiliwa na matatizo chungu nzima.
-
Wapalestina: Uungaji mkono wa Iran kwa Palestina ndio umeifanya Saudia iichukie Tehran
Feb 20, 2017 04:07Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Ukombozi wa Palestina amesema kuwa, Saudia inapingana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutokana na hatua ya Tehran kuiunga mkono Palestina.