Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Mamia ya Wapalestina wametekwa nyara na wanajeshi wa Israel mwezi uliopita

    Mamia ya Wapalestina wametekwa nyara na wanajeshi wa Israel mwezi uliopita

    Sep 01, 2016 23:45

    Taasisi na duru mbalimbali zinazoshughulikia masuala ya mateka wa Kipalestina wamesema kuwa, Wapalestina 516 wametekwa nyara na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel mwezi uliopita katika mikoa mbalimbali ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Jumapili, 28 Agosti, 2016

    Jumapili, 28 Agosti, 2016

    Aug 27, 2016 23:59

    Leo ni Jumapili tarehe 25 Dhil-Qaadah mwaka 1437 Hijria sawa na tarehe 28 Agosti 2016 Miladia.

  • Viongozi wa Palestina kufuatilia haki za Wapalestina waliowekwa kizuizini na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Viongozi wa Palestina kufuatilia haki za Wapalestina waliowekwa kizuizini na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Aug 27, 2016 03:19

    Waziri anayehusika na masuala ya Wapalestina walioko kizuizini kwenye jela za utawala wa Kizayuni ametangaza kuwa suala la watu hao litafuatiliwa kwa uzito mkubwa kwenye jumuiya za kimataifa.

  • Onyo la Wapalestina kwa utawala ghasibu wa Israel

    Onyo la Wapalestina kwa utawala ghasibu wa Israel

    Aug 24, 2016 02:00

    Kushadidi uvamizi na hujuma za utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la Ukanda wa Gaza katika siku za hivi karibuni, kumekabiliwa na radiamali mbalimbali za Wapalestina.

  • Jumatano, Agosti 3, 2016

    Jumatano, Agosti 3, 2016

    Aug 02, 2016 22:55

    Leo ni Jumatano tarehe 29 Shawwal 1436 Hijria sawa na Agosti 3, 2016

  • Iran yamkosoa Mahmoud Abbas kwa kufanya kikao na MKO

    Iran yamkosoa Mahmoud Abbas kwa kufanya kikao na MKO

    Aug 02, 2016 02:57

    Katibu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemkosoa vikali Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina kwa kufanya mazungumzo na mkuu wa kundi la kigaidi la Munafikina (MKO).

  • Afrika Kusini yatangaza utayari wa kusimamia mazungumzo ya maridhiano ya kitaifa ya Palestina

    Afrika Kusini yatangaza utayari wa kusimamia mazungumzo ya maridhiano ya kitaifa ya Palestina

    Jul 31, 2016 03:09

    Afrika Kusini imetangaza kuwa iko tayari kuwa mwenyeji wa mazungumzo ya kufikia maridhiano ya kitaifa baina ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) na harakati ya Fat-h.

  • Mash'al: Upo udharura kwa Wapalestina kuwa kitu kimoja

    Mash'al: Upo udharura kwa Wapalestina kuwa kitu kimoja

    Jul 29, 2016 22:09

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesisitiza kuwa damu za mashahidi wa Kipalestina zinatilia mkazo kuwepo umoja kwa lengo la kupambana na adui Mzayuni.

  • Radiamali ya UN kwa vitendo vya kichokozi na  kujitanua vya Israel

    Radiamali ya UN kwa vitendo vya kichokozi na kujitanua vya Israel

    Jul 26, 2016 03:23

    Umoja wa Mataifa na viongozi wa Palestina wamelaani vikali mipango ya Israel ya kupanua ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu.

  • Putin ataka kuundwa nchi huru ya Palestina

    Putin ataka kuundwa nchi huru ya Palestina

    Jul 25, 2016 09:53

    Rais Vladimir Putin wa Russia amesisitiza udharura wa kuundwa nchi huru ya Palestina mji mkuu wake ukiwa Quds tukufu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS