-
Palestina: Ni kinaya kuteuliwa Israel kuongoza kamati ya UN
Jun 08, 2016 23:12Afisa wa ngazi za juu wa Palestina ameitaja kama kichekesho na kinaya, hatua ya kuteuliwa utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa mwenyekiti wa kamati ya Umoja wa Mataifa.
-
Radiamali mbalimbali kuhusu kimya cha nchi za Kiarabu mbele ya jinai za Israel
Jun 08, 2016 01:40Harakati ya Hizbullahi ya Lebanon imelaani kimya cha nchi za Kiarabu mbele ya jinai za Wazayuni na kusema kukwa, kimya hicho ni mkamilishaji wa siasa za kuwa na uhusiano wa kawaida kati ya nchi hizo na Israel.
-
Walowezi wa Kizayuni wafanya maandamano Quds, wavamia al-Aqsa
Jun 06, 2016 02:59Maelfu ya walowezi wa Kizayuni wamefanya maandamano ya kutiliwa shaka mashariki mwa Quds inayokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel na kuzusha hali ya taharuki katika eneo hilo.
-
Jeshi la Israel lamuua shahidi mwanamke wa Palestina
Jun 02, 2016 10:21Askari wa jeshi katili la utawala haramu wa Israel wamemuua shahidi mwanamke wa Kipalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan hii leo.
-
Kiongozi wa kidini wa Kizayuni atishia Waislamu kupoteza kikamilifu fursa ya kutumia Masjidul-Aqsa
Jun 02, 2016 03:19Kiongozi wa kidini wa Wazayuni Rabi Yehuda Glick amesema kukataa kugawanywa msikiti wa Al- Aqsa baina ya Waislamu na Mayahudi kutakuwa sawa na kufutwa kikamilifu haki ya Waislamu ya kutumia msikiti huo.
-
Bunge la Kiarabu lataka kuundwa nchi ya Palestina
May 30, 2016 10:58Bunge la Kiarabu limeutaka Umoja wa Mataifa uhakikishe inaundwa nchi ya Palestina mji wake mkuu ukiwa ni Baitul- Muqaddas. Bunge la Kiarabu limetoa wito huo katika kikao kilichofanyika katika makao makuu ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu huko Cairo, Misri.
-
Mazungumzo ya mapatano; mchakato wenye uhakika wa kufeli
May 30, 2016 02:30Katika muendelezo wa radiamali na hisia zinazoonyeshwa na fikra za wananchi pamoja na makundi ya muqawama ya Palestina kuhusiana na harakati zenye lengo la kufufua mazungumzo ya mapatano kati ya Mamlaka ya Ndani na utawala wa Kizayuni, harakati ya Jihadul Islami ya Palestina, nayo pia imesisitiza kuwa mwisho wa mazungumzo hayo ni kugonga mwamba na kufeli tu.
-
Israel, Misri, UAE na Jordan zapanga kumtimua Rais wa Palestina
May 29, 2016 23:56Utawala wa Kizayuni wa Israel na waitifaki wake ikiwemo Misri, Umoja wa Falme za Kiarabu na Jordan zinapanga njama ya kumuondoa madarakani Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina Mahmoud Abbas.
-
Mazungumzo ya mapatano; mchakato wenye uhakika wa kufeli
May 29, 2016 23:51Katika muendelezo wa radiamali na hisia zinazoonyeshwa na fikra za wananchi pamoja na makundi ya muqawama ya Palestina kuhusiana na harakati zenye lengo la kufufua mazungumzo ya mapatano kati ya Mamlaka ya Ndani na utawala wa Kizayuni, harakati ya Jihadul Islami ya Palestina, nayo pia imesisitiza kuwa mwisho wa mazungumzo hayo ni kugonga mwamba na kufeli tu.
-
Hamas yakaribisha juhudi za kufikia umoja wa kitaifa Palestina
May 29, 2016 02:55Mwakilishi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas amekaribisha juhudi zozote zenye lengo la kufanikisha umoja wa kitaifa na kuhitimisha mgawanyiko na hitilafu za ndani kati ya Wapalestina.