Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Tanzania kuendelea kuwa rafiki wa Palestina

    Tanzania kuendelea kuwa rafiki wa Palestina

    May 10, 2016 23:47

    Gazeti moja la kila siku la nchini Tanzania limeandika makala changanuzi kuhusu historia ya uungaji mkono wa Tanzania kwa taifa madhlumu la Palestina.

  • Livingstone: Kubuniwa Israel ni janga kubwa duniani

    Livingstone: Kubuniwa Israel ni janga kubwa duniani

    May 07, 2016 03:41

    Meya wa zamani wa London nchini Uingereza amesema kuanzishwa utawala haramu wa Israel ni janga kubwa la kihistroria ambalo taathira zake hasi zinaendelea kushuhudiwa.

  • Hamas: Hujuma mpya ya Israel Ukanda wa Gaza itapata jibu kali

    Hamas: Hujuma mpya ya Israel Ukanda wa Gaza itapata jibu kali

    May 06, 2016 23:50

    Naibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) ameuonya Utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya mashambulizi yake mapya katika Ukanda wa Gaza huku uvamizi huo mpya wa Tel Aviv katika eneo hilo ukiingia siku yake ya nne Jumamosi.

  • Israel yazuia wakaguzi wa UN kuchunguza mateso katika jela zake

    Israel yazuia wakaguzi wa UN kuchunguza mateso katika jela zake

    May 05, 2016 04:10

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umekaidi matakwa ya Umoja wa Mataifa ya kuchunguzwa mateso wanayoyapata Wapalestina katika jela za utawala huo dhalimu.

  • Ban atiwa uchungu na suala la wakimbizi wa Palestina

    Ban atiwa uchungu na suala la wakimbizi wa Palestina

    May 05, 2016 00:08

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, ameeleza kutiwa uchungu na suala la hatima ya wakimbizi wa Palestina wapatao milioni 5.2, ambalo halijapatiwa suluhu kwa muda mrefu.

  • Trump: Israel iendeleze ujenzi wa vitongoji Palestina

    Trump: Israel iendeleze ujenzi wa vitongoji Palestina

    May 04, 2016 09:56

    Donald Trump, mwanasiasa wa chama cha Republican anayewania kuteuliwa kugombea urais nchini Marekani kupitia chama hicho ameutaka utawala haramu wa Israel uendeleze ujenzi haramu wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Wapalestina zinazokaliwa kwa mabavu.

  • UN: Israel inaeneza uongo kuhusu Palestina

    UN: Israel inaeneza uongo kuhusu Palestina

    May 02, 2016 23:29

    Mratibu wa masuala ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa ameulaumu utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kueneza uongo dhidi ya Wapalestina.

  • Ugaidi unaenea kutokana na hitilafu za kimadhehebu, kikaumu katika nchi za Kiislamu

    Ugaidi unaenea kutokana na hitilafu za kimadhehebu, kikaumu katika nchi za Kiislamu

    May 02, 2016 23:28

    Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu wa Iran amesema, ugaidi unaenea Mashariki ya Kati kutokana na hitilafu za kikaumu na kimadhehebu katika nchi za Kiislamu.

  • Iran yataka Wapalestina waungane kukabiliana na Utawala wa Kizayuni

    Iran yataka Wapalestina waungane kukabiliana na Utawala wa Kizayuni

    May 01, 2016 09:42

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesisitiza kuhusu ulazima wa kuwepo umoja miongoni mwa makundi yote ya Palestina.

  • Mashirika 40 ya haki za binadamu Ufaransa yatangaza mshikamano na watoto wa Kipalestina

    Mashirika 40 ya haki za binadamu Ufaransa yatangaza mshikamano na watoto wa Kipalestina

    Apr 30, 2016 23:51

    Zaidi ya mashirika 40 ya kutetea haki za binadamu nchini Ufaransa yametangaza mshikamano na watoto wadogo na vijana chipukizi wa Kipalestina wanaoshikiliwa kwenye magereza ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS