Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Kiongozi: Wamagharibi wanataka kudhibiti eneo kupitia vita dhidi ya Uislamu

    Kiongozi: Wamagharibi wanataka kudhibiti eneo kupitia vita dhidi ya Uislamu

    May 01, 2016 13:41

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema madola ya Magharibi yakiongozwa na Marekani yanataka kulidhibiti eneo la Magharibi mwa Asia kupitia vita vikubwa na vipana dhidi ya mrengo wa Uislamu.

  • Wazayuni walivamia tena kaburi la Nabii Yusuf (AS), Ufukwe wa Magharibi, Palestina

    Wazayuni walivamia tena kaburi la Nabii Yusuf (AS), Ufukwe wa Magharibi, Palestina

    Apr 28, 2016 23:38

    Walowezi wa Kizayuni wamelivamia tena kaburi la Nabii Yusuf (as) huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Saudia kufungua ubalozi Israel

    Saudia kufungua ubalozi Israel

    Apr 27, 2016 23:31

    Saudi Arabia imesema huenda ikafungua ubalozi wake Tel Aviv iwapo utawala haramu wa Israel utakubali kusitisha mgogoro katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Intifadha yazidi kuutia kiwewe utawala wa Kizayuni wa Israel

    Intifadha yazidi kuutia kiwewe utawala wa Kizayuni wa Israel

    Apr 25, 2016 22:04

    Majenerali wa kijeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamesema kuwa, wana wasiwasi wa kuongezeka muqawama wa wananchi wa Palestina dhidi ya utawala huo pandikizi.

  • Ripoti: Idadi ya wafungwa watoto wa Kipalestina katika jela za Israel yaongezeka

    Ripoti: Idadi ya wafungwa watoto wa Kipalestina katika jela za Israel yaongezeka

    Apr 24, 2016 03:00

    Idadi ya watoto wadogo wa Kipalestina wanaozuiliwa katika jela za kutisha za utawala wa kizayuni wa Israel imeongezeka kwa kiwango kikubwa tangu Oktoba mwaka uliopita wa 2015.

  • Merkel aikosoa Israel kwa kuendeleza ujenzi wa vitongoji

    Merkel aikosoa Israel kwa kuendeleza ujenzi wa vitongoji

    Apr 20, 2016 03:18

    Chansela wa Ujerumani amekosoa hatua ya utawala haramu wa Israel ya kuendeleza ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu na kusema kuwa ujenzi huo unazuia mchakato wa amani.

  • Ban asema Israel inavuruga mpango wa amani

    Ban asema Israel inavuruga mpango wa amani

    Apr 19, 2016 10:57

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon amekosoa vikali hatua ya Israel kuendeleza ujenzi wa vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.

  • Russia kuisaidia Palestina kutatua mzozo kati yake na Israel

    Russia kuisaidia Palestina kutatua mzozo kati yake na Israel

    Apr 19, 2016 03:23

    Rais wa Russia Vladimir Putin amesema nchi yake itasaidia juhudi za Palestina za kuupatia ufumbuzi mgogoro kati yake na utawala wa kizayuni wa Israel kwa njia ya mazungumzo.

  • Wazayuni kadhaa wajeruhiwa karika mripuko wa bomu Quds

    Wazayuni kadhaa wajeruhiwa karika mripuko wa bomu Quds

    Apr 18, 2016 12:24

    Habari kutoka Palestina inayokaliwa kwa mabavu zinasema kuwa, Wazayuni karibu 20 wamejeruhiwa katika mripuko wa bomu katika basi moja huko Quds.

  • Maandamano ya Siku ya Wafungwa wa Kipalestina

    Maandamano ya Siku ya Wafungwa wa Kipalestina

    Apr 17, 2016 23:41

    Mamia ya wananchi wa Palestina jana Jumapili walifanya maandamano katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na Ukanda wa Gaza katika maadhimisho ya Siku ya Wafungwa wa Kipalestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS