-
HAMAS: Iran ndiye muungaji mkono wa kweli wa muqawama na taifa la Palestina
Feb 13, 2016 04:42Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema kuwa, hakuna nchi yoyote ya Kiarabu au ya Kiislamu ambayo hadi hivi sasa imeweza kuifikia Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kuunga mkono muqawama na taifa linalodhulumiwa la Palestina.
-
Israel yatiwa kiwewe na msimamo wa UN kuwatetea Wapalestina
Feb 09, 2016 11:24Utawala wa kizayuni wa Israel umetiwa kiwewe na matamshi yaliyotolewa hivi karibuni ya Ban Ki-moon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ya kuwatetea Wapalestina ambao ardhi zao zinakaliwa kwa mabavu na Wazayuni maghasibu.
-
Mashauriano baina ya Fat'h na Hamas ya kufikia maridhiano ya kitaifa ya Palestina
Feb 08, 2016 03:44Wakati mashauriano yanaendelea baina ya harakati za Hamas na Fat'h kwa ajili ya kufanikisha mchakato wa maridhiano ya kitaifa ya Wapalestina, wawakilishi wa Fat'h kwenye vikao vya mashauriano wametoa masharti mapya kwa ajili ya kufikiwa maridhiano hayo ambayo yamekabiliwa na radiamali ya harakati ya Hamas.
-
Hamas yataka kuungwa mkono Muhammad al Qiq
Feb 07, 2016 04:19Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imewatolea mwito wananchi wa Palestina kushiriki kwa wingi katika maandamano ya kumuunga mkono mwandishi habari wa Kipalestina aliyeko katika jela ya Israel huku akiwa amegoma kula.