-
Wapalestina wapongeza uamuzi wa ICJ dhidi ya Israel
Jul 20, 2024 02:52Makundi ya kisiasa na kijamii ya Palestina yamepongeza uamuzi uliotolewa na Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) wa kutazama ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika eneo la Palestina linalokaliwa kwa mabavu na Israel la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan kuwa haramu na kinyume cha sheria.
-
Iran: Pingamizi la kuundwa taifa la Palestina limeanika dhati ya ubaguzi ya Israel
Jul 19, 2024 22:50Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema hatua ya Bunge la utawala wa Kizayuni wa Israel ya kupinga kuasisiwa taifa huru la Palestina kwa mara nyingine tena imeidhihirishia dunia dhati ya ubaguzi wa rangi ya utawala huo haramu.
-
Russia: Migogoro ya Asia Magharibi inasababishwa na sera mbovu za Marerkani
Jul 18, 2024 05:49Sergey Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, hali mbaya katika eneo la Asia Magharibi ni matokeo ya kushindwa sera mbovu za Marekani katika eneo.
-
Tume ya haki za binadamu Palestina yatahadharisha kuhusu mgogoro wa kibinadamu Gaza
Jul 17, 2024 23:02Tume huru ya haki za binadamu ya Palestina imetangaza kuwa kuendelea kuzingirwa Ukanda wa Gaza kutapeleke eneo hilo la ardhi ya Palestina kuathiriwa mgogoro wa kibindamu ambayo haujawahi kushuhudiwa.
-
Vikosi vya Yemen na Iraq vyafanya operesheni za kuitetea Palestina
Jul 16, 2024 03:48Vikosi vya wanamaji na vya makombora vya Yemen vimefanya operesheni nyingine dhidi ya meli za mafuta zilizokuwa zikielekea katika bandari za utawala wa Kizayuni unaokalia ardhi za Palestina kwa mabavu.
-
Rais wa Brazil: Dunia isinyamazie kimya mauaji ya Wapalestina Gaza
Jul 15, 2024 23:24Rais Luiz Inacio Lula da Silva wa Brazil amelaani vikali kimya cha jamii ya kimataifa mkabala wa mashambulizi ya kinyama na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Wanariadha wa Ireland waonyesha mshikamano na wananchi wa Palestina
Jul 14, 2024 06:39Wanariadha wa Ireland katika mji mkuu wa nchi hiyo Dublin wameonyesha mshikamano na wananchi wa Palestina wakipinga vita na mauaji ya kimbari yanayoendelea kkufanywa na Israel Ukanda wa Gaza.
-
Iran: Israel haijali mstari wowote mwekundu wa maadili
Jul 14, 2024 03:36Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali jinai mpya iliyofanywa na utawala wa Kizayuni katika eneo la Al-Mawasi huko Khan Yunis, kusini mwa Ukanda wa Gaza na kuua shahidi makumi ya wakimbizi wa Kipalestina na kujeruhi mamia ya wengine.
-
Japan inatafakari kulitambua rasmi taifa huru la Palestina
Jul 14, 2024 03:18Serikali ya Japan imefichua kuwa, inatathmini kwa uzito mkubwa suala la kulitambua rasmi taifa huru la Palestina.
-
Jeshi la Israel limeua na kujeruhi makumi ya wakazi wa Khan Yunis kusini mwa Gaza + Video
Jul 13, 2024 08:18Ndege za kivita za jeshi la utawala katili wa Israel limeushambulia mji wa Khan Yunis kusini mwa Ukanda wa Gaza na kuuwa wakazi wa mji huo wasiopungua 71 na kujeruhi wengine 289 hadi hivi sasa.