Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Misri na Russia zasisitiza kusitishwa mara moja mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Ghaza.

    Misri na Russia zasisitiza kusitishwa mara moja mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Ghaza.

    Oct 08, 2023 03:08

    Katika mazungumzo ya simu, Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Misri na Russia wamesisitiza juu ya ulazima wa kusitishwa mara moja mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Ghaza.

  • Wananchi wa Iran washerehekea ushindi wa kihistoria wa Wapalestina + Video

    Wananchi wa Iran washerehekea ushindi wa kihistoria wa Wapalestina + Video

    Oct 07, 2023 23:56

    Wananchi wa jiji la Tehran wamekusanyika mbele ya ubalozi wa Palestina kusherehekea ushindi wa kihistoria waliopata wanapambano wa Palestina katika shambulio kubwa walilofanya jana Jumamosi dhidi ya Wazayuni.

  • Iran yapongeza na kutangaza uungaji mkono kwa Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa

    Iran yapongeza na kutangaza uungaji mkono kwa Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa

    Oct 07, 2023 11:39

    Mshauri wa Amiri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kwa kusema: "tunaunga mkono Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa na tuna hakika kwamba kambi ya Muqawama pia inaunga mkono suala hili".

  • Askari makatili wa Israel wawaua shahidi vijana 2 wa Kipalestina Tulkarm

    Askari makatili wa Israel wawaua shahidi vijana 2 wa Kipalestina Tulkarm

    Oct 05, 2023 23:17

    Wanajeshi vamizi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewaua shahidi vijana wawili wa Kipalestina katika mji Tulkarm, eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Askofu Mkuu Hanna: Ukandamizaji wa Israel dhidi ya Wakristo umeongezeka kutokana na kimya cha Wamagharibi

    Askofu Mkuu Hanna: Ukandamizaji wa Israel dhidi ya Wakristo umeongezeka kutokana na kimya cha Wamagharibi

    Oct 05, 2023 04:31

    Atallah Hanna, Askofu Mkuu wa Wakristo wa Orthodox huko Quds Tukufu inayokaliwa kwa mabavu (Jerusalem), amesema kwamba Wakristo wa Quds wamo hatarini zaidi kuliko hapo awali.

  • HAMAS yataka kuendelezwa muqawama dhidi ya Wazayuni

    HAMAS yataka kuendelezwa muqawama dhidi ya Wazayuni

    Sep 30, 2023 01:07

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imesema kuna haja ya kuendeleza muqawama na mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Askari wa Israel wawashambulia waandamanaji wa Kipalestina, 30 wajeruhiwa

    Askari wa Israel wawashambulia waandamanaji wa Kipalestina, 30 wajeruhiwa

    Sep 23, 2023 04:11

    Wanajeshi makatili wa utawala haramu wa Israel wamewashambulia waandamanaji wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza na kujeruhi 30 miongoni mwao.

  • Netanyahu: DRC itahamishia ubalozi wake Quds kutoka Tel Aviv

    Netanyahu: DRC itahamishia ubalozi wake Quds kutoka Tel Aviv

    Sep 23, 2023 00:35

    Waziri wa utawala wa Kizayuni wa Israel amesema Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo karibuni itauhamishia ubalozi wake mjini Quds (Jerusalem) kutoka Tel Aviv.

  • Waziri Mkuu wa Kuwait asisitiza umuhimu wa kadhia ya Palestina

    Waziri Mkuu wa Kuwait asisitiza umuhimu wa kadhia ya Palestina

    Sep 22, 2023 08:03

    Waziri Mkuu wa Kuwait Ahmad Nawaf Al-Ahmad Al-Sabah amesisitiza kuwa Palestina ni moja ya masuala muhimu katika ulimwengu wa Kiislamu na ulimwengu wa Kiarabu.

  • Rais Raisi: Vita havina nafasi katika miongozo ya kijeshi ya Iran

    Rais Raisi: Vita havina nafasi katika miongozo ya kijeshi ya Iran

    Sep 22, 2023 03:12

    Rais Ebrahim Raisi amesema: Vita havina nafasi katika miongozo ya kijeshi ya Iran, lakini kudumisha utayarifu wa kijeshi kwa muelekeo wa kujihami ni sera ya Jamhuri ya Kiislamu isiyo na shaka yoyote.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS