-
Polisi watatu watiwa mbaroni nchini Misri
May 30, 2016 04:35Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Misri ametoa amri ya kutiwa mbaroni maafisa watatu wa jeshi la polisi la nchi hiyio kwa tuhuma za kumtesa na kumpiga vibaya raia mmoja wa nchi hiyo.
-
Shule za msingi zaendelea kufungwa Uingereza kwa hofu ya ugaidi
May 28, 2016 16:02Shule za msingi zilifungwa kwa siku ya tatu mfululizo nchini Uingereza jana Ijumaa kwa hofu ya kutokea vitendo vya kigaidi.
-
Waliokuwa njiani kwenda kujiunga na al-Shabaab wakamatwa na polisi ya Kenya
May 16, 2016 08:19Polisi katika mpaka wa Kenya na Somalia wanawazuilia watu watano akiwemo mwanafunzi wa chuo cha walimu, kwa tuhuma za kwenda kujiunga na kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab.
-
Mkuu wa zamani wa polisi Afrika Kusini asailiwa
May 08, 2016 07:33Tume ya uchunguzi wa mauaji ya mwaka 2012 katika kijiji cha Marikana nchini Afrika Kusini imemsaili mkuu wa zamani wa polisi wa nchi hiyo.
-
Polisi ya Burundi yatangaza idadi ya wahanga wa machafuko ya nchi hiyo
May 04, 2016 07:56Machafuko nchini Burundi yaliyodumu kwa mwaka mzima sasa yamepelekea watu 451 kuuawa.
-
Polisi Uganda yazima mkutano wa upinzani, kadhaa wakamatwa
May 03, 2016 16:32Maafisa wa polisi nchini Uganda wamezima mkutano wa kila wiki wa chama cha upinzani cha FDC na kukamata wafuasi kadhaa wa chama hicho.
-
Viongozi wa CORD wapigwa mabomu ya kutoa machozi Nairobi
Apr 25, 2016 16:34Viongozi wa Muungano wa CORD wa Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga na wafuasi wao wamekumbwa na zahama kubwa leo baada ya polisi kuwafyatulia mabomu ya kutoa machozi katika jaribio la kutawanya maandamano yao mbele ya jengo la Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC jijini Nairobi.
-
Baraza la Usalama kutuma kikosi cha polisi Burundi
Apr 02, 2016 07:57Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio la kutuma kikosi cha maafisa wa polisi wa umoja huo nchini Burundi kwa lengo la kudhibiti hali ya mambo nchini humo.
-
Msafara wa polisi wa Misri washambuliwa kwa bomu
Feb 22, 2016 07:51Polisi mmoja ameuawa na watu wengine 11 wamejeruhiwa baada ya kutokea mripuko katika msafara wa polisi hao kwenye mji wa al Arish nchini Misri.
-
Wanafunzi wa chuo cha polisi watimuliwa Misri, kisa wana uhusiano na Ikhwani
Feb 15, 2016 15:13Serikali ya Misri imewatimua shule makumi ya wanafunzi wa Chuo cha Poilisi ya nchi hiyo kwa tuhuma ya kuwa na uhusiano na kundi la Ikhwanul Muslimin.