-
Rais wa Russia asisitizia haki ya Wapalestina ya kupigania ukombozi wao
Nov 30, 2020 04:36Rais Vladimir Putin wa Russia amemtumia ujumbe wa maandishi Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kushikamana na Taifa la Palestina na kusisitiza kuwa ni haki ya taifa hilo kupigania ukombozi wake.
-
Rais Putin wa Russia atangaza chanjo ya kwanza ya corora duniani, binti yake apewa chanjo hiyo
Aug 11, 2020 12:14Rais Vladmir Putin wa Russia ametangaza leo kuwa, nchi yake imetengeneza chanjo ya kwanza kabisa ya virusii vya corona inayotoa kinga ya kudumu dhidi ya virusi hivyo.
-
Rais Rouhani asisitiza kuwa JCPOA itabakia hai kwa ushirikiano
Mar 01, 2020 03:09Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yataendelea kuwepo na kubakia hai madhali kutakuwepo na ushirikiano wa pande zote husika.
-
Putin atembelea Syria na kukutana Assad, atembelea mitaa ya Damascus
Jan 08, 2020 02:49Rais Vladimir Putin wa Russia jana aliwasili Damascus mji mkuu wa Syria na kukutana na Rais wa nchi hiyo, Bashar Assad.
-
Rais Putin wa Russia ataka kuhitimishwa mgogoro wa Libya
Dec 19, 2019 12:55Rais Vladimir Putin wa Russia amesema angependa kuona mgogoro wa Libya unapatiwa ufumbuzi na mazungumzo baina ya pande mbili hasimu katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika yanaanza.
-
Putin ataka kuongezeka maradufu mabadilishano ya kibiashara kati ya Russia na Afrika
Oct 24, 2019 02:48Rais Vladimir Putin wa Russia ametoa mwito wa kuongezeka maradufu mabadilishano ya kibiashara kati ya nchi yake na nchi za bara Afrika.
-
Putin: Nchi za Kiarabu ziheshimu Iran na maslahi yake katika eneo
Oct 13, 2019 08:09Rais Vladimir Putin wa Russia ameziasa nchi za Kiarabu na nyinginezo katika Ghuba ya Uajemi na eneo la Asia Magharibi kuiheshimu Iran na kuitambua kama taifa lenye uwezo mkubwa katika eneo.
-
Juhudi za Putin za kukabiliana na Magharibi; kuunda G-7 mpya na makombora mapya
Sep 07, 2019 11:31Katika miaka ya karibuni Russia imefanya ubunifu na kuchukua hatua kadhaa kwa ajili ya kukabiliana na nchi za Magharibi hususan Marekani au imewasilisha mapendekezo kadhaa katika uwanja huo.
-
Malengo halisi ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Russia
Nov 18, 2018 07:02Uhusiano wa Marekani na Russia tangu baada ya kumalizika Vita Baridi umekuwa na pandashuka nyingi na mivutano ya mara kwa mara. Tangu mwaka 2011 Marekani imekuwa ikiiwekea vikwazo Russia kwa kutumia visingizio mbalimbali.
-
Putin: Operesheni za anga za Israel zinakiuka uhuru wa kujitawala Syria
Sep 19, 2018 07:52Rais Vladimir Putin wa Russia amesema operesheni za anga za jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika anga ya Syria ni ukiukaji wa mamlaka na kujitawala serikali halali ya sasa ya Damascus. Putin amesema hayo huku mgogoro kuhusu ajali ya kutunguliwa ndege ya Russia katika anga ya Syria wakati wa shambulio la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya nchi hiyo Kiarabu ukiendelea kutokota.