-
Rais wa Iraq aishukuru Iran kwa msaada katika vita dhidi ya ISIS (Daesh)
Dec 15, 2018 23:12Rais wa Iraq ameishukuru kwa dhati Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa msaada wake katika vita vilivyopelekea kushindwa magaidi wakufurishaji wa kundi la ISIS au Daesh nchini humo.
-
Bunge la Somalia labatilisha hoja ya kutokuwa na imani na Rais
Dec 12, 2018 04:11Bunge la Somalia limebatilisha hoja iliyowasilishwa na baadhi ya wabunge waliotaka kupigiwa kura ya kutokuwa na imani na Rais wa nchi hiyo, Mohammed Abdullahi Farmajo.
-
Misri nayo yataka marekebisho ya katiba ya kuondoa kikomo cha muhula wa rais
Dec 07, 2018 20:55Mahakama moja nchini Misri imetangaza Disemba 23 kama siku ya kusikiliza ombi la kutaka kufanyiwa marekebisho katiba ya nchi, yatakayomruhusu Rais Abdulfattah al-Sisi wa nchi hiyo agombee zaidi ya mihula miwili iliyoruhusiwa na katiba.
-
Mahakama Zambia yamuidhinisha Rais Lungu kugombea muhula wa tatu
Dec 07, 2018 11:05Mahakama ya Katiba Zambia imetangaza kuwa Rais Edgar Lungu wa nchi hiyo anaweza kugombea muhula wa tatu katika uchaguzi mkuu ujao unaotazamiwa kufanyika mwaka 2021.
-
Rais Mnangagwa: Zimbabwe ina hifadhi kubwa ya mafuta na gesi
Nov 02, 2018 03:58Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe amefichua kuwa, nchi hiyo ina hifadhi kubwa ya mafuta na gesi katika mji wa Muzarabani ulioko kaskazini mwa nchi.
-
Ethiopia yapata rais wa kwanza mwanamke
Oct 25, 2018 10:25Bunge la Ethiopia limemuidhinisha mwandiplomasia wa kimataifa, Sahle-Work Zewde kuwa rais wa kwanza mwanamke wa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Erdogan: Mauaji ya Khashoggi yalipangwa, wahusika washtakiwe Istanbul
Oct 23, 2018 10:59Rais Recep Tayyib Erdogan wa Uturuki amesema watu wote waliohusika na mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari na mkosoaji mkubwa wa utawala wa Saudi Arabia wanapashwa kubebeshwa dhima na kesi zao zinapaswa kusikilizwa mjini Istanbul.
-
Rais Aoun: Serikali ya Lebanon kuundwa katika kipindi kifupi kijacho
Oct 18, 2018 10:38Rais Michel Aoun wa Lebanon amesema serikali mpya ya nchi hiyo itaundwa katika kipindi kifupi kijacho.
-
Rais Rouhani: Marekani ndiyo iliyoshindwa kwa kukiuka makubaliano ya kimataifa
Oct 14, 2018 12:48Rais Hassan Rouhani amesema: Kwa mtazamo wa kisheria na kisiasa, Marekani ndiyo iliyoshindwa kwa kukiuka makubaliano ya kimataifa.
-
Rais wa Syria: Ushindi wa Idlib utasambaratisha mpango wa "Muamala wa Karne"
Oct 08, 2018 04:14Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuhusiana na makelele yanayofanywa na madola ya Magharibi kabla ya kuanza operesheni ya kuukomboa mkoa wa Idlib, kwamba kukombolewa mkoa huo kutafelisha mipango ya Marekani katika Mashariki ya Kati.